Magufuli aleta mkanganyiko kwa wananchi!!

Magufuli aleta mkanganyiko kwa wananchi!!

Mkuu shule na kilometa za barabara zilizojengwa wakati wa Jk ni kubwa kuliko jumla ya barabara zilizojengwa wakati wa mkoloni, mwinyi na mkapa, what ele do you need from him? Au kisa amewazuia na kapi lenu kugusa ikulu?Jk is the real leader!
Labda useme Shule alizotangaza Mh Kikwete. Lakini Ujengaji wa barabara, Shuel kwakuopitia PEDP and SEDPzilizoasiisiwa na Mh Benjamin Mkapa ndio alizokuja kudandia Mh Kikwete na Lowas it is a bid lie. Lakini wahenga kwenye Ukweli Uongo hujitenga. Hivyo imejulukana tu. Nachompendea Mh. Magufuli ni data na \records. namshauri muheshimiwa aweke records hizi kuepusha watu kaka weweww kuja kupotosha jamii. Namshauri Mh. Mkapa aandike mambo alivyoyakuta na aliyoyafanya kuweka records sawasawa. na it is very unfortunately nilisoma Wikpedia once record kama hizi zisizo na ukweli ndizo zilizoandikwa. Many Congratulations kwa Dr. Shein aliandika mambo yote aliyoyafanya kipindi cha miaka 5 soon kitatoka. Namshauri asummarize ili kisambae na kwa wananchi wa kawaida. Nia ni kuwa Fair na kuweka records sawasawa kwa kumbukumbu, ya watoto , wakujuu na generations mbalimbali zitakazokuja!
 
Mbona hakusema ni nani ameifikisha Tanzania mahali hapo,aliishia tu kusema hapa ndipo tulipoikuta tz,
 
Anakurupuka mno!Ana visasi!Hajui itifaki.Anapenda sifa za kipuuzi.Kwa mfano kitendo cha rais Magufuli kulisifia gazeti La Jamhuri na kumtangazia Makonda promotion jukwaani NI ULEVI WA MADARAKA
Hivi mjomba unafikiri kwa kutumia akili gani aseee, hivi ni vibaya kusifia mtu kama amefanya kitu kizuri....hebu tuliza akili yako acha kuchangia vitu kwa jazba binafsi namsifu makonda kwa kazi anayoifanya na gazeti la jamhuri kwa kuibua uozo wa wizi wa mafuta bandarini
 
2897c66d4b1acfc93b70ee4184a5ea97.jpg
 
Anakurupuka mno!Ana visasi!Hajui itifaki.Anapenda sifa za kipuuzi.Kwa mfano kitendo cha rais Magufuli kulisifia gazeti La Jamhuri na kumtangazia Makonda promotion jukwaani NI ULEVI WA MADARAKA
You are wrong comrade!Learn how to give the devil its due!
 
Anakurupuka mno!Ana visasi!Hajui itifaki.Anapenda sifa za kipuuzi.Kwa mfano kitendo cha rais Magufuli kulisifia gazeti La Jamhuri na kumtangazia Makonda promotion jukwaani NI ULEVI WA MADARAKA
Shida ni nini? Huyo ndiye Magufuli na wala si Kikwete. HIYO NDIYO SILKA, HULKA NA STAILI YAKE.
 
Ukimsikiliza vizuri Rais Magufuli jinsi anavyohutubia kuna kitu lazima utajiuliza hasa unapomlinganisha na mtangulizi wake Kikwete aliezoea kutuaminisha kwamba nchi iko mahali pazuri sana wala hakua anaorodhesha mapungufu makubwa ktk serikali yake kama afanyavyo Magufuli.

Kuna wakati akiongea Kikwete nilikuwa nazima tv/redio coz nilikua naona ni kama Tanzania anayoizungumzia yeye labda sio hii niishiyo mimi kutokana na tofauti kubwa ya kile alichokua akizungumza na hali halisi huku maishani.

Jambo hili limeibua maswali sana yupi ana tatizo kati yao je Magufuli anaongea kutaka sifa au Kikwete alikua jipu??
Ulivyoanza mpaka kumaliza na jibu ulishatoa...
Siku hizi unasikiliza/kuangalia wakati zamani ulikuwa ukizima...
linganisha anchoongea JPM kinalingana na Tanzania uishiyo?
 
1) Tangu Dunia imeumbwa na Mola wetu mpaka 2005 Watanzania waliokuwa wanapata umeme walikuwa 10%. Kuanzia Dec 2005 mpaka Nov 2015 wamefikia 34%.
2) Shule za Kata alizojenga Jakaya nyingi zaid kuliko kuanzia Alizojenga Mkapa mpaka wakati wa Adam na EVA/Hawa.
3) Uhuru wa Kujieleza ulikuwa Mkubwa sana mpaka Wavuta bhangi kama Lema na Nasari kutangaza Jamhuri ya Kaskazini na Kumpiga Marufuku Rais wa Nchi asikanyake Arusha na hawakuguswa wala kusumbuliwa.
4) Barabara za Lami alizojenga haijawahi kutokea wala kusimuliwa kama alivosema Waziri wake wa Ujenzi.
5) Huduma za Moyo, Meno figo zimeboreka sana ukibisha waulize Mufti,Kardinali na Sumaye waliokabidhi Mustakabali wake kitengo cha Jakaya Kikwete Muhimbili badala ya kwenda Nje.
6) Urasimu kwny Ajira kaondoa kwa kuanzisha Secrtariet ya Ajira hivi leo sio ajabu kumkuta Mwazani,Karumanzira au Masanja kuwa Wizara ya fedha badala ya yale majina ya Shirima na Rweyemamu yaliyozoeleka tangu uhuru maana ukihitaji Mtumishi unapeleka maombi kule na wao ndo wanaajiri badala ya yale ya zamani Baba anatengeneza nafasi ya kazi halafu anamfanyia Mwanae interview n.k
7) Mahusiano ya Kimataifa yaliboreka sana sana sana hasa kuweza ku balance Urafiki wa Magharibi na Mashariki.
8) Kuzuia kwa ujasiri Mkubwa genge la wapiga dili kukabidhiwa Ikulu.

Anayo mapungufu yake mfano kuwapa Madaraka kwa kuangalia urafiki badala ya uwezo na uadilifu mf. Kuteua Waziri Mkuu mtu aliewahi kukataliwa na Mwl Nyerere kwa Wizi.
Kama Jakaya alipata Zali basi hata wewe una zali kutawaliwa nae!
He was supposed to do more than that. Aliimarisha ushkaji kwenye masuala muhimu ya maendeleo ikajengwa mitandao mipana ya wizi wa fedha na rasilimali nyingine za nchi. Pia maskini walizidi kuwa mafukara wa kutupwa
 
Tuliachwa tukalewa unga, matokeo yake hata hatuwezi kuchangia hoja!
 
Anakurupuka mno!Ana visasi!Hajui itifaki.Anapenda sifa za kipuuzi.Kwa mfano kitendo cha rais Magufuli kulisifia gazeti La Jamhuri na kumtangazia Makonda promotion jukwaani NI ULEVI WA MADARAKA

Kumbuka kuwa Mkuu akisema ameumba, litatokea. Ulevi unatoka wapi ikiwa lisemwalo lipo na ni kweli?
 
Back
Top Bottom