The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,222
- 3,360
Ukimsikiliza vizuri Rais Magufuli jinsi anavyohutubia kuna kitu lazima utajiuliza hasa unapomlinganisha na mtangulizi wake Kikwete aliezoea kutuaminisha kwamba nchi iko mahali pazuri sana wala hakua anaorodhesha mapungufu makubwa ktk serikali yake kama afanyavyo Magufuli.
Kuna wakati akiongea Kikwete nilikuwa nazima tv/redio coz nilikua naona ni kama Tanzania anayoizungumzia yeye labda sio hii niishiyo mimi kutokana na tofauti kubwa ya kile alichokua akizungumza na hali halisi huku maishani.
Jambo hili limeibua maswali sana yupi ana tatizo kati yao je Magufuli anaongea kutaka sifa au Kikwete alikua jipu??