Na hayo mataifa sasa yanajuta, maana wakimbizi wanapitia huko huko!Siyo jambo zuri kiongozi kama yeye kuhubiri ya Libya, wakati suala la Libya liko wazi kuwa pale tatizo siyo wananchi pekee. Lakini ni msukumo kutoka mataifa makubwa katika kuondoa udikteta. Sasa nchi yetu tuna utaratibu wa kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano. Hapo makufuli anapindisha ukweli.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums