screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,902
- 15,928
Kwa kufuru niliyoiona leo Mwanza namshauri Rais wetu kipenzi Dr. John Pombe Joseph Magufuli asijichoshe tena kupiga kampeni kwa ajili ya uchaguzi huu maana ni dhahiri ameshashinda tena kwa kishindo, kuanzia mkutano ujao aanze kupiga kampeni ya awamu yake ya pili 2020 ambapo atakuwa anapambana na kijana mahiri Zitto Kabwe ambaye ndio atakuwa mpinzani mkuu mwaka huo, UKAWA itakuwa imekufa, CHAGADEMA itakuwa ICU, so upinzani utakuwa kati ya CCM na ACT. Au akiona ni mapema sana kuanza kampeni za 2020 basi apande jukwaani kutufundisha mazoezi ya push up basi, in short Magufuli ni Rais tayari, tunaisubiri tar 25 kukamilisha ratiba tu.
#HAPAKAZITU
#HAPAKAZITU