Gedeli JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 497 Reaction score 222 Aug 11, 2015 #41 Kichakoro said: Hiii si rushwa kwa tafsiri ya sheria ya uchaguzi Click to expand... huyu ni mzee wa kuroboka tu hi ni rushwa moja kwa moja kinachotakiwa iwepo sheria hiyo kwa nchi nzima na yeye kama anataka awe anafuatilia kama inatumika
Kichakoro said: Hiii si rushwa kwa tafsiri ya sheria ya uchaguzi Click to expand... huyu ni mzee wa kuroboka tu hi ni rushwa moja kwa moja kinachotakiwa iwepo sheria hiyo kwa nchi nzima na yeye kama anataka awe anafuatilia kama inatumika
Gedeli JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 497 Reaction score 222 Aug 11, 2015 #42 Noel france said: kivuko kimegharimu milioni tatu na laki tatu (3300000 ) /= tu!!!!!!! tafadhali acha masiala,au umekosea kutaipu. Uwenda ulitakakusema bilioni 3.3. Click to expand... halafu kinachukua watu 100 tu na magari yasiyo julikana idadi nahisi kuna makosa mahali fulani
Noel france said: kivuko kimegharimu milioni tatu na laki tatu (3300000 ) /= tu!!!!!!! tafadhali acha masiala,au umekosea kutaipu. Uwenda ulitakakusema bilioni 3.3. Click to expand... halafu kinachukua watu 100 tu na magari yasiyo julikana idadi nahisi kuna makosa mahali fulani
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,976 Aug 11, 2015 #43 mdafanga said: Magufuri huyo huyu alisema wapige mbizi kigamboni leo anasema wavuke bure...ah ah ah ah Click to expand... Hiyo bure ni kwa miezi mitatu tu....
mdafanga said: Magufuri huyo huyu alisema wapige mbizi kigamboni leo anasema wavuke bure...ah ah ah ah Click to expand... Hiyo bure ni kwa miezi mitatu tu....
hunchback JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 658 Reaction score 289 Aug 11, 2015 #44 Gedeli said: halafu kinachukua watu 100 tu na magari yasiyo julikana idadi nahisi kuna makosa mahali fulani Click to expand... Kwenye habari nilisikia ni milioni tatu nikafiri nimesikia vibaya, sijui usahihi uko wapi! Ila Magufuri aache kupiga kampeni kabla ya muda!
Gedeli said: halafu kinachukua watu 100 tu na magari yasiyo julikana idadi nahisi kuna makosa mahali fulani Click to expand... Kwenye habari nilisikia ni milioni tatu nikafiri nimesikia vibaya, sijui usahihi uko wapi! Ila Magufuri aache kupiga kampeni kabla ya muda!
M mehhi Senior Member Joined Mar 29, 2015 Posts 108 Reaction score 9 Aug 11, 2015 #45 Alikuwa wapi cku zote? Eti baada yakugombea urais ndo anaanza kuwaonea huruma? Aache unafiki magufuli hiyo tunaita ni takrima
Alikuwa wapi cku zote? Eti baada yakugombea urais ndo anaanza kuwaonea huruma? Aache unafiki magufuli hiyo tunaita ni takrima
brave_3 JF-Expert Member Joined Jun 9, 2014 Posts 1,186 Reaction score 710 Aug 11, 2015 #46 kivuko kimeigharimu fedha za serikali 3.3 milion kweli? ufafanuzi hapo...