Mwenzake Uhuru yuko Paris, ku-negotiate na wakuu wa kampuni ya TOTAL ya ndo kwanza anachukua likizo kabla hata ya miezi 6??? maisha mtaani magumu kama nini, mapato ya TRA hayaeleki, bandarini kumepooza, elimu bure majanga! MCC haieleweki, sidhani kama ni busara kupumzika wakati nchi hata inapita kwenye wakati mgumu kiasi hiki!