Hao hao wanyonge anaowapigania ndio aliwaambia wote watapata mkopo wakiwa wanasoma Elimu ya Chuo kikuu kipindi anawanyenyekea hadi alipiga pushups, lakini leo hao hao wanyonge anawaambia hawapi Mkopo(nasisitiza ni Mkopo) maana anatakayewapa ni KICHAA.Mheshimiwa rais anapigania wanyonge
Acheni upuuzi, hata wanaosoma private ni wanyonge wauza dagaa, wauza vitumbua, wafugaji na wakulima.Mheshimiwa rais anapigania wanyonge
kama ww, subiri u-dcMheshimiwa rais anapigania wanyonge
Labda waliosoma PRIVATE siyo wanyonge...Hao hao wanyonge anaowapigania ndio aliwaambia wote watapata mkopo wakiwa wanasoma Elimu ya Chuo kikuu kipindi anawanyenyekea hadi alipiga pushups, lakini leo hao hao wanyonge anawaambia hawapi Mkopo(nasisitiza ni Mkopo) maana anatakayewapa ni KICHAA.
Anawapigania wanyonge gani?
waelewe kusomesha private siyo lzm uwe tajiri na mtoto kutoka chekechea hadi chuo kikuu ni miaka mingi unaweza kuwa ajira huna au biashara ishakufa,kimsingi mkopo wapewe wote bila kujali hayo ya nyuma.Acheni upuuzi, hata wanaosoma private ni wanyonge wauza dagaa, wauza vitumbua, wafugaji na wakulima.
Kumbukeni shule za serikali ni chache na wanaofaulu ni wengi.
Hivyo wazazi hulazimika kuwatafutia watoto elimu kwa kujiumiza kuwapeleka shule za kulipia, badala ya kumtua mnyonge mzigo tena aliyepigania elimu kwa nguvu kubwa, unamnyima mkopo eti kasomesha shule ya kulipia!
Ccm ni janga na mkuu wake
Kweli mkuu, pia wafahamu nafasi ni chache kwa shule za serikaliwaelewe kusomesha private siyo lzm uwe tajiri na mtoto kutoka chekechea hadi chuo kikuu ni miaka mingi unaweza kuwa ajira huna au biashara ishakufa,kimsingi mkopo wapewe wote bila kujali hayo ya nyuma.
siyo tatizo, uliza bashite ni darasa la ngapi.Mimi darasa la saba B
Utamtambuaje mnyonge weka vigezo hapa sio maandishi tuMheshimiwa rais anapigania wanyonge
Watoto Wa shule za serikali wasio na ada ya privateUtamtambuaje mnyonge weka vigezo hapa sio maandishi tu
Endeleeni kujenga matabaka tu wapo watu wanafunzi waliofadhiliwa, waliosaidiwa,wapo ambao wazaz wameuza aseti zao kama mashamba, mifugo, hata nyumba zao za urthi ili tu wawawekee watoto wao misingi iliyobora kwa kuamini huko juu mkopo upo alafu pia huo mkopo anakopeshwa mtoto na sio mzazi atakaelipa pia ni hyo huyo mtoto baada ya kumaliza masomo ya juu leo mnawahukumu kwa mapenzi ya wazazi wao kwa watoto hivi hizo kanuni za matabaka zmeanza lini make mikopo ilikuwa inawahusu wa Tanzania wote leo mna kanuni zenu hivi hakuna viongozi waliosoma private katka nchi hii!!!!!!!! Aibu yenuWatoto Wa shule za serikali wasio na ada ya private
khaaaaaaa!!Mwaka 2015
".Kitu Chenyewe Mkopo, Alafu Mtu Akose?."-JPM
Mwaka 2018
".Wewe Kama Ni Mwanafunzi, Umesoma Private School, Leo Uje Uchukue Fomu Ujaze Eti Wakupe Mkopo Wamekuwa VICHAA?."- JPM
hahahaa!Kipindi cha mvua, Dstv ina katakata sana. Sijui ndio wanasema dish linacheza.