Magufuli 2015-2025 vs Kenyatta 2013 - 2023

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,667
59,741
Guys is the Time to check our presidents what they did since they took the throne.
Ninapenda niandike kwa kiswahili. Kwamba hawa maraisi was nchi hizi mbili jirani wamefanya nini tangu waingine madarakani!?
Tutaangazia masuala ya:-
1. Kijamii
2. Kiuchumi
3. Miundombimu
4. Kisiasa
5. Kielimu
6. Kiafya
Na mambo mengine ambayo yanachangamsha maendeleo.

Ninawakaribisha wote tuchangie kwa facts, picha, takwimu na maelezo bila matusi.

Asanteni.
 
Naomba mod nisaidie kuedit
Badalaya Magifuli = Magufuli.
 
Screenshot_20200903-175130.png
 
Kumbe uchaguzi wao ni 2023, mbona utafikiri ni December? Wanafikiria tu kupata nafasi ya kuibia wananchi badala ya kuwaondoa wananchi wao kwenye ufukara wa chakula
 
1. Magufuri won against corona, UKenyata failed.
2. Magufuri reduced dependency from westerners while Kenyata has increased budget dependency to the western
3. Magufulu never failed to pay emoluments to workers of the land, Uhuru failed
4. Magufuri awakened ATCL but Uhuru is continuing killing KQ
5. Magufuri has ensured food security in the land, Kenyata raia wake wanakufa njaa.

Niendelee?
 
Nzuri hii
 
Average production of Rice.
Tanzania IPO vizuri
View attachment 1557812
yaani pamoja na kuvuna 3m tons of rice while wafa njaa wakizalisha 200k lakini bado Tanzania inazidi kupanua kilimo chake zaidi cha mchele, juzi tumepokea tena pesa nyingi kwa ajili ya kujenga mradi mkubwa sana wa irrigation kwenye eneo la hectares 3000 karibu acres 7000 za mpunga

Mradi huu utakua wa mfano barani Africa
 
Guys is the Time to check our presidents what they did since they took the throne.
Ninapenda niandike kwa kiswahili. Kwamba hawa maraisi was nchi hizi mbili jirani wamefanya nini tangu waingine madarakani!?
Tutaangazia masuala ya:-
1. Kijamii
2. Kiuchumi
3. Miundombimu
4. Kisiasa
5. Kielimu
6. Kiafya
Na mambo mengine ambayo yanachangamsha maendeleo.

Ninawakaribisha wote tuchangie kwa facts, picha, takwimu na maelezo bila matusi.

Asanteni.
Don't EVER compare Kenyatta with Dickhead plz
 
Back
Top Bottom