Vision 2030
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 407
- 250
Mwenyezi Mungu angekuwa anasifiwa hivi hakika hata ukame usingekuwepo, uzuri Rais anajua pumba na mchele katika sifa anazopewa, maana kuna nyingine za kinafsi
Asilimia kubwa ni za kinafki ili wapate cheo.
"No comment"Kwasasa mzee wa malimali uko ccm anaabudiwa na wanafiki kuliko hata wanavyomuabudu Mungu
Na wakikosa wananuna kama Nape, vijana wa Lumumba kuwaelewa inahitaji moyo wa chuma
Nguvu kubwa mnayotumia kumponda ndio nguvu kubwa inayotumika kumsifia.Mwenyezi Mungu angekuwa anasifiwa hivi hakika hata ukame usingekuwepo, uzuri Rais anajua pumba na mchele katika sifa anazopewa, maana kuna nyingine za kinafiki
Nguvu kubwa mnayotumia kumponda ndio nguvu kubwa inayotumika kumsifia.
"Ndiko anakoelekea we subiri"Kama hujui Magufuli ni mdogo kama piriton anapohojiwa na Mkapa,
Umejiuliza kwanini ile ya report ya wezi wa Mali za CCM haikusomwa?
Hahaha naye ana wakumuhoji?! I would love to be there, when that happens.Kama hujui Magufuli ni mdogo kama piriton anapohojiwa na Mkapa,
Umejiuliza kwanini ile ya report ya wezi wa Mali za CCM haikusomwa?
Magonjwa ya akili yapo mengi sana aise!!!!1.P1= P2 (Pascal's Principal ).
Where P1 = Pressure 1
P2 = Pressure 2
2.d1A1= d2A2
Where d1 = Distance kubwa
d2= Distance ndogo
A1 =Cross sectional area ndog
A2=Cross sectinal area kubwa
3.To every action there is an equal and opposite to reaction 3rd Newton's law of motion.
4.Science raha sana Kiongozi anatumia Knowledge ya Kidato cha 1& 2 tu cha science na mambo yanaenda bado hajaanza kutumia Knowledge ya kidato cha nne,kidato cha 6,degree ya 1,degree ya 2 na degree ya 3.
"MUNGU NIPE MAISHA MAREFU ILI NISHUHUDIE KIPINDI CHOTE CHA MAISHA YA UONGOZI WA JPM"
"Kuelewa itakuchukua muda sana"Magonjwa ya akili yapo mengi sana aise!!!!
Wapo"Ndiko anakoelekea we subiri"