Magu kweli kabisa umebana Sana

Kuna ukweli. Wahongaji wamekuwa wapole kweli
 
Vipi katika awamu zilizopita ni kweli ulifanikiwa kuhongwa hivyo vitu?
Mkuu vimada watakuwa wanajua mie siwezi kujua. Vipi awamu ya Mzee wa msoga hukubahatika kumuhonga yule mchepuko wako?
 
Mkuu vimada watakuwa wanajua mie siwezi kujua. Vipi awamu ya Mzee wa msoga hukubahatika kumuhonga yule mchepuko wako?
Te te te te mimi ni nourma nilihonga shamba kisarawe
 
Te te te te mimi ni nourma nilihonga shamba kisarawe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we kweli noumer hukutaka masihara kabisaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Napata shida kukuamini shemeji...wewe uhonge zaidi ya elfu tano kweli!!!manake naonaga kanisani penyewe hujawahi kutoa sadaka noti[emoji3]
Aache kunitumia mimi mama yake huku kijijini ahonge wakati hata soko la mahindi huku hakuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…