du, mkuu hebu toa mfano wa hayo magroup kwanza. mtu hujiungaje?Wana jf habari zenu,nimejaribu kuliangalia kwa ukaribu suala la magruop ya wasap hasa ya watu wasiojuana personally,kuna michepuko huko acha kabisa,magruop ynarahisisha mtu kupata namba ya mtu yeyote iliyepo humo kwenye gruop,kisha wanahamia inbox huko watamalizana kiutuuzima,kama una mke/mume au mpnz wako angalia sana aina za magruop aliyonayo ktk wasap yake,naongea haya ninaushuhuda wa namna ilivyorahisi kumtongoza na kumpata mwanamke kutoka katika gruop,Asanten nakaribisha mchango wako
du, mkuu hebu toa mfano wa hayo magroup kwanza. mtu hujiungaje?
Haaaaa [emoji23][emoji23][emoji115]Hata ww mke wako wako wamemtongoza hivyohivyo ulivyomtafuna na mwenzio
habari ndo hyoHata ww mke wako wako wamemtongoza hivyohivyo ulivyomtafuna na mwenzio