Magroup ya Harusi WhatsApp yanakera!

Sasa baba hapo mshhara na allowance zote c unaacha kwenye group.. Cha msingi we tafuta kale kabuton ka EXIT GROUP kana rangi nyekundu katakupa msaada ....
 
Maisha ya Kutafuta sifa,
Hakuna kitu kibaya sana kama kusihi watu wengine wanavyo taka, hii ndo inatucost, kwa kifupi watu hawaishi wanavyo taka bali wanaishi watu wengine wanavyo taka, tunaishi kuwafurahisha watu, that is too bad,
Hii ndo inayo tugharimu sana, now day mambo ya kipuuzi puuzi yamekuwa mengi sana, You cant belive mimi siko kwenye group hata moja la whatsap kwa sababu siwezi kuwa kwenye ma group ukiwasha Dat unakutana na sms 500 ujinga mtupu.

TUJIFUNZE KUISHI VILE TUNAVYO TAKA NA SI VILE WENGINE WANAVYO TAKA
 

Wewe umelazimishwa kuwa humo? Tatizo wabongo tunapenda sana maisha show off hicho ndo kitu kinacho tugharimu sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…