Bajeti 30M ; bwana harusi kapledge 500,000/- shit.Hahahaa, dah dhana unayotaka kusema imenifurahisha mkuu..... hivi Bado kuna watu wanachangia harusi watu ambao hawako close "Kiivyo"..yani just because you know me ndo nichangie? wengine hata kupigiana simu hamjawahi, for the first time nina kadi yako ya mchango..waafrika sisi???? Harusi mil 30.,,,, income Laki 650......
Hahahaha..and they keep begging, Ndugu wa bwana na Bibi..XYZ...then blabla, then Xpesa number.....Bajeti 30M ; bwana harusi kapledge 500,000/- shit.
Mabishostito unadhani watakuelewa? Jamii yetu ina watu wanapenda kujionyesha sana, hata kama ni maskini vipiTeh si bora magrupu unaweze kumute ukachuunaa! Kuna hizi kadi na msg nina kadi nne zote zinafatana !hivi kwani kufanya harusi hadi uchangiwee?? Eboh! Yani mtu huna hata kagari ka mil 5 teh unataka harusi ya mil 7 mfyuu! Si utumwa huu?! We unataka kuoa mwakani anza kuweka vijisenti vyako waambie ndugu zako wakuchangie alika watu kulingana na bajeti siyo kusumbuana kwe cm ka deni!lnchi yenyewe ishakuwa ngumu hii tutaonana wabaya!oohoh! Loh!
Mbaya zaidi hata kadi ya mualiko usipate ukishachangia na baada ya kumalizika harusi hakuna hata 'thank u note' kwa ufanikishaji wa harusi.Harusi wafaidi wawili nyie mhangaike.... Poleni.
Harusi ikiisha mnaangaliana machoni na mwenza wako, madeni kila kona. Ndo maana siku hizi ndoa hazidumu na michepuko haiishi. Maana mwanamke akiona hela yote unalipia madeni anatafuta side source of income kwa mfumo wa buzi.Mabishostito unadhani watakuelewa? Jamii yetu ina watu wanapenda kujionyesha sana, hata kama ni maskini vipi
Teh si bora magrupu unaweze kumute ukachuunaa! Kuna hizi kadi na msg nina kadi nne zote zinafatana !hivi kwani kufanya harusi hadi uchangiwee?? Eboh! Yani mtu huna hata kagari ka mil 5 teh unataka harusi ya mil 7 mfyuu! Si utumwa huu?! We unataka kuoa mwakani anza kuweka vijisenti vyako waambie ndugu zako wakuchangie alika watu kulingana na bajeti siyo kusumbuana kwe cm ka deni!lnchi yenyewe ishakuwa ngumu hii tutaonana wabaya!oohoh! Loh!