endeleeni kusubiri vyanzo vya habari vya uhakika, nilichosema ndicho hicho kama una maslahi na mama six its none of my bussness! Kifupi mama sixalisimamisha basi la wajumbe toka urambo eneo la makokola relini!akatoa fedha,alisimamisha basi la wajumbe wa nzega eneo la ipuli akatoa fedha, aliwafuata wajumbe wa sikonge nice hotel akatoa fedha,aliwafuata wajumbe wa igunga ,isamilo inn akamaliza mchezo zaidi ya hapo wahitaji ushahidi gani, hatahivyo swala la kuamini au kutokuamini si langu ni wewe unayesoma habari hizi!cha msingi habari halisi ndio hizi