Magonjwa yalikuwa kwa watu weupe pekee!

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,651
11,638
Wanabodi naomba kufahamishwa kwamba kuna ukweli wowote ule kuwa Mtu Mweusi alikuwa haugui ugonjwa wowote (Dis-ease free ) hadi siku zake za maisha zikifika labda auwawe na Mnyama mkali,Nyoka,Vita mishale ya sumu n.k lakini si Magonjwa.

Walipokuja Watu weupe Afrika Waarabu,Wazungu,Wachina na Wahindi n.k ndipo walileta mambo ya yao kulazimishwa kuishi kama wao au kulazimika wao wenyewe kuishi kama weupe ndipo magonjwa yalipoanza haswa maingiliano ya kimwili ya kawaida na style za kunyonyana ndimi na visimi na mikund na yale mahusiani ya kinyume na Maumbile uchafu uliokuwa ukibaki ulisababisha vijidudu vya magonjwa kuwaingia watu weusi na kufikia kuanza kuona vifo vya Mapema Sana...

Zamani sio tulisimuliwa na wazee wetu kuwa miaka yao japo si zamani sana kusikia mtu amefariki au kufa ilikuwa ni jambo la Kushangaza mno kwani watu waliokuwa wakifa ni wazee pekee. sikuhizi vikid tu imekuwa jambo la kawaida.

Ukienda kwenye Kabila la Watindiga huko Mwanza wao mwana jamii wao akifa basi hiyo sehemu wataihama wakiwa na madai kuwa Mungu kawaona wao bado ni watu wa kuhama hama sana hula Wanyama na Matunda tu hawalimi.

Ukija kwa Wamasai wao vyakula vya asili wanavyokula ni dawa tosha so nadhani kwao kuugua labda ni yale magonjwa wanayoambukizwa na wanyama like anthrax maana wao hunywa damu na maziwa kavu kavu bila kuchemshwa lakini wakifakamia majani huwa sawa... hapo inamaanisha vifo kwao ni vichache katika upande wa Magonjwa...

Kama kuna mwenye historia nitafurahi kusikia Maana Watu weupe walifikia kufanya mapenzi na wanyama na kusababisha Magonjwa mengi na ya ajabu mno yasiyotibika..

Kuna Watu weusi Nchini India ambao yasemekana walitokea East Africa karne nyingi zilizopita na hata muonekano wao Na yasemekana eneo walipo ni salama but wageni wakienda kuwatembelea hubeba bakteria ambao huwateketeza kwa vifo maana hawana kinga yeyote na Serikali ya India imepiga marufuku wageni na watalii kuwatembelea east African people katika area yao. Sasa hapo nilijiuliza maswali inawezekana watu weupe walivyokuja Africa walileta magonjwa ambayo Africa haikuwa nayo...

Watu weupe wanatakiwa Wagharamie Matibabu yetu hadi tupone Wao ndio wamesababisha. Tunatakiwa tuwafungulie kesi Ikidhibitika ni Kweli...
 
ulipoanza ishu za kunyonyana tu.... na mimi ndipo nilipoishia kusoma!
Mara Nyingi mtu wa kwanza au wa pili kureply kuchangia uzi humu JF huwa ni Mjinga... au Mweupe Kichwani Chunguza Thread nyingi mtajiona hilo Group.
 
Jiografia inakupiga chenga.....Watingita au Wahadzabe hawapatikani Mwanza wanapatukana kata ya Mang'ola, Karatu, Arusha.

Karibu utembelee Ngorongoro crater, Lake Manyara na Hadzabe community ujifunze zaidi
 
Mkuu Unaweza ukawa sawa au wewe kazi yako ni uliyosoma ndio hivyo hivyo unayafanya yawe Sealed unaamini Wasukuma wapo Shinyanga,Mwanza,Simuyu na Geita Pekee lakini Wapo Tabora,Singida,Manyara,Rukwa,Kigoma,Morogoro,Mbeya na Dar es salaam kwa wingi na sehemu zingine wamewapita kwa idadi wenyeji..

Naposema Watindiga wa Mwanza kuna story niliisikia kwa masikio yangu nikiwa na akili ilihadithiwa kipindi hicho Radio Tanzania katika kipindi cha Mikoa au Utalii walizungumzia story ya hao watindiga waliohuko Mwanza mwanzo nilistuka kwani nilijua mkoa wa Mwanza ni Wasukuma pekee kumbe hao jamaa zao ni kuhama hama tu wakisaka mapori...na hiyo story ya kuwa akifa mtu eneo hilo huama wanakula sana mizizi yote nimeyasikia radioni. Wewe kwa akili yako huwezi kukubali sikulazimishi hata kidogo nijuavyo mimi niache Mambo ya Jiografia nayoifahamu. Kizazi chenu endeleeni kumsikiliza Diamond.

Majuzi kati kuna mtu naye alinishambulia kuwa Wairaqwi wapo Manyara tu...baada ya kumuambia kuna kijiji Maswa kinaitwa Sayusayu hilo jina limetokana na salamu ya kiitikio ya wairaqwi waliishi huko na bado wapo na ni miaka mingi mno, Yaani kuna watu they act much know sana lakini akili fupi.

Sasa hata Shinyanga kumbe wapo... Kuleta Ujuaji wa Makabila ya Wafugaji achana nao kabisa... au Wafanya Biashara... Kuna Waarabu wa Oman,Yemen N.K hawajui Arabuni kukoje.. hata Dar lakini wapo vijijini huko Nzega,Shinyanga,Tabora,Same huko Mnazi,Kihurio,Mpanda,Bagamoyo n.k

Hadza
[hts] Singida region: southeast of Lake Eyasi, south and northwest; Manyara region: Iramba and Mbulu districts; Shinyanga region: Maswa district. 950 (Brenzinger 2013), decreasing. Ethnic population: 950 (Brenzinger 2013). Status: 6b (Threatened). Alternate Names: Hadzabi, Hadzape, Hadzapi, Hatsa, Kangeju, Kindega, Kindiga, “Tindiga” (pej.), Wakindiga. Dialects: Bali may be a dialect. Classification: Language isolate. Comments: Nomadic. Population dwindling. Pressures from outside resulting in less land, food. Traditional religion, Christian.
 
magonjwa mengi husababishwa na uchafu na mikusanyiko.
Unaweza kuelezea uchafu wa aina gani haswa ambao watu wa kale walikuwa hawana hadi wakawa hawaugui? na uchafu wa baada ya watu weupe unasababisha tuugua hadi sasa...

Au inawezekana mfumo wa chakula haswa veg na mizizi ndio ulikuwa unabalance vizuri na kuziweka chembe chembe nyeupe mwilini kufanya kazi vizuri kwa kuulinda mwili...

Bata anakula hadi uchafu haumwi...
 
ugonjwa hauwezi kuendelea kama watu wanaishi mbalimbali. aliyeambukizwa anakufa nao na ndiyo mwisho. zamani walikuwa wachafu ila hawakukusanyika hivyo magonjwa hayakusambaa na kusumbua kama leo. waafrika walichelewa kuishi kwa kukusanyika (miji) ndiyo maana wamechelewa kupata magonjwa. lakini tulivyoanza kukusanyika kwenye miji michafu yametuandama kuliko wazungu. unajuaa bata akitumia maji machafu anapata typhoid? hadi mayai yanakuwa na wadudu.
 
Sio kweli...!

Malaria ilikuwepo since n since ila hatukujua kuwa inaitwa malaria na magonjwa mengine pia kama homa ya tauni

Ila watu weusi kiasili wapo resistant zaidi na magonjwa kuliko weupe

Aidha, baadhi ya jamii/kabila za kiafrika zina ufahamu wa madawa mengi makali na mazuri ya mitishama, mfano Wamasai.
 
Back
Top Bottom