Hata mie nayataka ,ila kuna mtu kaniambia Kiwanda cha magodoro Dodoma pale mikocheni nao wanayo ambayo ni mazuri ngoja pia niende nikaangalie kama yana kiwango
Hapana, mimi sihitaji haya ya Dodoma au mengineyo made in Tanzania. Nimeshayatumia na naona kuwa utalaamu wa kuweka hizo "spring" bado haujakaa sawa.
Hivyo sasa naona bora nichukue tu ya mitumba