Magical Kenya Sponsors Lion King Red Carpet

kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
4,316
3,683
If there was any doubt that the Lion King is set in Hell's Gate National Park in Kenya, let that end mow.
Magical Kenya has decided to use the movie to market the country, because it is just natural.

Huyu hapa Beyonce na JayZ kwa red carpet.

magical kenya.jpg


magical kenya2.jpg
 
Mshike adabu yenu kwa kutaka kushindana na ndovu baba wa Mashariki mwa Afrika na Kati, mvumilie tuwaseme ndio mjulikane, bila sisi nyie mnafahamika kama mkoa wetu wa kusini...hehehehe...ila huyo mdada Beyonce, yaani mwanamke ameumbwa akaumbika, toto la Kiafrika, paja nje nje...mamayeeee
 
Duuuh,,Jamani Hizi nguo wanazozivaa hawa masuperstars hazivutii.
 
...Kenyans at their best, putting energy into the wrong things.
Boss, ukimaliza kuzubaa zubaa kwasababu ya paja tamu la Beyonce focus kidogo hapo nyuma utaona nembo hii hapa.
images
Hii ndio brand ambayo inapackage kila kitu kuhusu Kenya, utalii, vivutio vya utalii na utamaduni wa wakenya, kutoka kwa Kenya Tourism Board(KTB). Acha wapongezwe kwa kazi nzuri ya kuitangaza Kenya. Wanafanya vitu vya kueleweka kule CNN na kwenye media zingine za kimataifa. Magical Kenya imekuwa brand ambayo inafahamika na ya umuhimu mkubwa kwa utalii nchini Kenya. Kitaeleweka tu kabla ya premier ya Lion King hivi karibuni tarehe 19 Julai.
 
...Kenyans at their best, putting energy into the wrong things.
You're not alone, joto la jiwe feels the same but do not fight it, it bad for you, let it sink in, Marinetti and you'll come to term with it.We will continue telling ours and your stories from our perspective after all you are our brothers, right?. We'll start with teaching SWA to Southafricans our way.RIGHT ENERGY IN THE RIGHT THINGS.
 
In conclusion who gets huge revenues in tourism in EAC?? I want answer from kibera!
 


2018 numbers.. David Ndii however corrected Mr. Hall in the comments section that tourism makes 2% of our GDP and not 9%. He stood corrected.
 
...Kenyans at their best, putting energy into the wrong things.
You forgot so soon which country put decades of energy into failed socialism ,put energy into slaughtering dozens albinos for black magic riches and now they've decided to put energy into kuzaana zaidi ati wakuze uchumi .
 
You forgot so soon which country put decades of energy into failed socialism ,
Socialism didn't fail, we are more united than any country on our block, we produce more food than we need, we design, finance and build our projects with ease.

We have a better male to female ratio (there is a scientific reason for this) and produce more beautiful kids than anyone in East Africa, what else do we want?
put energy into slaughtering dozens albinos for black magic riches and now they've decided to put energy into kuzaana zaidi ati wakuze uchumi .
Kuzaa ni biologia, ukiwa na wanawake wazuri lazima utapata mhemeko wa kuzaa nao.
 
Back
Top Bottom