tangu tupate uhuru haijawahi tokea uporaji mkubwa na wa kisayansi kama uuzaji wa nyumbahuyu jamaa ni waziri wa vyombo vya habari anavyopenda sifa ni muongo wa kutupwa hafai hata ujumbe wa nyumba kumi ameshalitia taifa hasara sana kwa maamuzi yake ya kibabe na machafu yasiozingatia maadili ya uongozi
Mdau anamfahamu Magufuli kwa aliyoyataja hapo juu. Wewe unayemfahamu kwa upande mwingine weka hadharani unayoyafahamu tumpime. Hatutaki porojo hapa lete facts.
Nani Kama John Pombe Magufuli..,
1.Kiongozi mchapakazi anayejituma
2.Kiongozi ambaye hajajilikimbizia mali, tujiulize magufuli anamiliki kampuni gani..?
3.Anatanguliza mbele maslahi ya Taifa, na maslahi ya chama. kwani hajihusishi na makundi kuleta mgawanyiko katika chama
4.Kiongozi anyesimamia ukweli na mwenye msimamo thabiti..!
5.Kiongozi huyu hatumii pesa kujisafisha au kujijengea njia kuwa raisi 2015, zaidi ya uongozi wake bora na sio kumwaga fedha na kuunda mitandano au makundi
6.Anajiamini (self confident) hatawachekea mafisadi na wazembe serikalini, na hata wananchi wavivu na wabishi mfano wa kigamboni waliombishia kuhusu nauli, watanzania tunapendwa kubebwa kila wakati kwenye sehemu ambako hatubebeki, ndio chanzo kikubwa cha umaskini
7.Ni mfuatiliaji mzuri wa matatizo, kama alipanda lori na kujifanya abiria kukamata wanaochukua rushwa kwenye mizani,..kiongozi gani ambaye atakuwa tayari kufanya jambo kama hili serikalini..? zaidi ya kuandaa warsha na vikao kutatua matatizo
Napenda kumfananisha John Magufuli na Paul Kagame, kwa style zao za uongozi bora na kupambana na ufisadi,rushwa na hujuma dhidi ya taifa...!
Magufuli ameweza kuwa mtu pekee mwenye kukiletea heshima chama cha mapinduzi (ccm), kama kufanikisha ushindi Igunga,na pia atakuwa ndio striker kwnye uchaguzi Arumeru..,kweli anatimiza Ilani ya CCM kwa asilimia 100..!
Watanzania Kama tunapenda maendeleo, tumpe moyo viongozi kama hawa wenye kujituma na kutetea maslahi ya Taifa...!
Ningepanda nishauri Mh.John Magufuli apewe Ulinzi maalumu maanake wasije wakamfanyia mabaya hasa wale wanaokamia urasi 2015..! kwakuwa wanaamini ni tishio kwao
Hakuna waziri muongo kama Magufuli..kwa wasio mjua ndio mnaona ana chapa kazi..kelele nyiingii lakini hamna kitu pale..wale wale tu!!
Mkuu, tujuze ni mwongo kivipi?
Hata kama ni aina fulani ya kampeni lakini nafikiri iko sawa maana inaendana na kauli ya wahenga "Chema chajiuza, kibaya chajitembeza." Mafisadi ni lazima watumie nguvu nyingi (pamoja na pesa) maana hawakubaliki, bali wachapa kazi na waadilifu kama Dr. J. P. Magufuli matendo yao yanawasemea.
Nani Kama John Pombe Magufuli..,
1.Kiongozi mchapakazi anayejituma
2.Kiongozi ambaye hajajilikimbizia mali, tujiulize magufuli anamiliki kampuni gani..?
3.Anatanguliza mbele maslahi ya Taifa, na maslahi ya chama. kwani hajihusishi na makundi kuleta mgawanyiko katika chama
4.Kiongozi anyesimamia ukweli na mwenye msimamo thabiti..!
5.Kiongozi huyu hatumii pesa kujisafisha au kujijengea njia kuwa raisi 2015, zaidi ya uongozi wake bora na sio kumwaga fedha na kuunda mitandano au makundi
6.Anajiamini (self confident) hatawachekea mafisadi na wazembe serikalini, na hata wananchi wavivu na wabishi mfano wa kigamboni waliombishia kuhusu nauli, watanzania tunapendwa kubebwa kila wakati kwenye sehemu ambako hatubebeki, ndio chanzo kikubwa cha umaskini
7.Ni mfuatiliaji mzuri wa matatizo, kama alipanda lori na kujifanya abiria kukamata wanaochukua rushwa kwenye mizani,..kiongozi gani ambaye atakuwa tayari kufanya jambo kama hili serikalini..? zaidi ya kuandaa warsha na vikao kutatua matatizo
Napenda kumfananisha John Magufuli na Paul Kagame, kwa style zao za uongozi bora na kupambana na ufisadi,rushwa na hujuma dhidi ya taifa...!
Magufuli ameweza kuwa mtu pekee mwenye kukiletea heshima chama cha mapinduzi (ccm), kama kufanikisha ushindi Igunga,na pia atakuwa ndio striker kwnye uchaguzi Arumeru..,kweli anatimiza Ilani ya CCM kwa asilimia 100..!
Watanzania Kama tunapenda maendeleo, tumpe moyo viongozi kama hawa wenye kujituma na kutetea maslahi ya Taifa...!
Ningepanda nishauri Mh.John Magufuli apewe Ulinzi maalumu maanake wasije wakamfanyia mabaya hasa wale wanaokamia urasi 2015..! kwakuwa wanaamini ni tishio kwao
Ukweli ni kwamba Magufuli ni mchapakazi, mfutiliaji, anajiamini, hana woga wala longolongo, haoni haya kuwaonea haya wazembe, wavivu, wezi na wadanganyifu. Katika CCM ya leo, Magufuli anaweza kabisa kuuzika na kukubalika kwa wananchi.
Nani Kama John Pombe Magufuli..,
1.Kiongozi mchapakazi anayejituma
2.Kiongozi ambaye hajajilikimbizia mali, tujiulize magufuli anamiliki kampuni gani..?
3.Anatanguliza mbele maslahi ya Taifa, na maslahi ya chama. kwani hajihusishi na makundi kuleta mgawanyiko katika chama
4.Kiongozi anyesimamia ukweli na mwenye msimamo thabiti..!
5.Kiongozi huyu hatumii pesa kujisafisha au kujijengea njia kuwa raisi 2015, zaidi ya uongozi wake bora na sio kumwaga fedha na kuunda mitandano au makundi
6.Anajiamini (self confident) hatawachekea mafisadi na wazembe serikalini, na hata wananchi wavivu na wabishi mfano wa kigamboni waliombishia kuhusu nauli, watanzania tunapendwa kubebwa kila wakati kwenye sehemu ambako hatubebeki, ndio chanzo kikubwa cha umaskini
7.Ni mfuatiliaji mzuri wa matatizo, kama alipanda lori na kujifanya abiria kukamata wanaochukua rushwa kwenye mizani,..kiongozi gani ambaye atakuwa tayari kufanya jambo kama hili serikalini..? zaidi ya kuandaa warsha na vikao kutatua matatizo
Napenda kumfananisha John Magufuli na Paul Kagame, kwa style zao za uongozi bora na kupambana na ufisadi,rushwa na hujuma dhidi ya taifa...!
Magufuli ameweza kuwa mtu pekee mwenye kukiletea heshima chama cha mapinduzi (ccm), kama kufanikisha ushindi Igunga,na pia atakuwa ndio striker kwnye uchaguzi Arumeru..,kweli anatimiza Ilani ya CCM kwa asilimia 100..!
Watanzania Kama tunapenda maendeleo, tumpe moyo viongozi kama hawa wenye kujituma na kutetea maslahi ya Taifa...!
Ningepanda nishauri Mh.John Magufuli apewe Ulinzi maalumu maanake wasije wakamfanyia mabaya hasa wale wanaokamia urasi 2015..! kwakuwa wanaamini ni tishio kwao
Ni Mgombea yupi wa CCM ambaye hakupewa sifa hizo zote anazopewa Maghufuli na pengine hata zaidi!
Mwaka 1985 tulidanganywa, mwaka 1995 tukadanganywa tena, mwaka 2005 tukazidi kudanganywa na mwaka 2015 mnataka tuzidi kudanganywa tena?
- Mnakumbuka sifa alizopewa Mwinyi mwaka 1985 alipoteuliwa kugombea Uraisi kwa mara ya kwanza?
- Mnakumbuka sifa alizopewa Mkapa mwaka 1985 alipoteuliwa kugombea Uraisi kwa mara ya kwanza?
- Mnakumbuka sifa alizopewa Kikwete mwaka 2005 alipoteuliwa kugombea Uraisi kwa mara ya kwanza?
Leo mwali Maghufuli atembezwa kama next level lakini tayari kaanza kwa kuuza nyumba, kitabakia nini jamani? Tutaishi wapi ndugu zangu!
- Mwinyi tuliambiwa mpole na mwenzetu, akawaruhusu wezi hadi kuigeuza Ikulu kama kibaraza chao!
- Mkapa tuliambiwa mkimya na Mr. Clean, kimya akaigeuza na kuitumia Ikulu kama mtaji wa kibiashara!
- Kikwete tuliambiwa ni handsome na chaguo la mungu, washikaji na wabia wake wezi wakaiteka Ikulu!