Maghorofa yageuka viwanja Dar

Maghorofa yageuka viwanja Dar

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,952
Reaction score
939
attachment.php

Ma ghorofa ya zamani Yakiwa na ujenzi wa nyumba mpya juu.
attachment.php


 
Nishatafakari mkuu, sema kila nikitaka kuchukua hatua nawaza vitu vyenye ncha kali.:shut-mouth:
 
Cha kujiuliza ni kua misingi (foundation) zake zilijengwa ku-accomodate hizo additional floors?

Otherwise tunakaribisha Indira Ghandhi Street zingine "intentionally"
 
Tusubiri. Vifusi vingine zaidi ...................!
 
Inawezekana tu kama hakuna change of use,nguzo na foundation zilikuwa designed kubeba floor zaidi. Taarifa hizi utazipata kwenye designed information. Kama hakuna designed information, laboratory test inatakiwa kufanywa
 
Du!tumeiona ila tunasubilia itokee accident then tuunde tume
 
Duh! Hakika Tza kuna maajabu yaliyozidi ya Musa, kila kitu bora liende, kukiwa na tukio tume zinaaundwa kupewa wale wale wanaojua kuzitafuna pesa za walipa kodi!
 
huku akitabasamu bila kujali km watu wapo katika machungu na majonzi.

Na kuwaalika waokoaji wote kwenda Ikulu kujipongeza kwa chakula cha mchana wakati watu wengine wakiwa wanaomboleza
 
Back
Top Bottom