Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mungu saidiampaka wafe wananchi ndio viongozi wetu wakumbuke kuchukua hatua
Kumbe mlifahamu siku nyingi..Ukipita Kariakoo hata kama siyo mtaalamu wa ujenzi utagundua kwamba majengo mengi yamejengwa bila kufuata sheria za ujenzi, baada ya kuanguka kwa jengo katikati ya jiji, tukaamua kuipa kampuni binafsi kazi ya ukaguzi ili kuona ni majengo gani yapo kinyume na sheria, alisema Silaa.
Watanzania wengi ni kama watoto wadogo.Sijui kwanini watu bado hawakomi tu na mateso ya ccm
Mkuu upo hai?mpaka wafe wananchi ndio viongozi wetu wakumbuke kuchukua hatua
Nimefurahi kumuona ila umeuliza direct mno😂Mkuu upo hai?
Chief tathmini yake aliifanya kale mno...2013 wakati wa Jakaya ila nani alijali?Nimefurahi kumuona ila umeuliza direct mno😂
Imetokeampaka wafe wananchi ndio viongozi wetu wakumbuke kuchukua hatua
Kwa mfano ukiwa ndani ya ghorofa lililo anguka bado utahitaji tukufahamishe ukabebe hizo simu?Siku yakibomoka nishtueni mapema...nna shida na simu