Maghembe Azua Kizaa zaaa!

Maghembe Azua Kizaa zaaa!

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,464
- According to the dataz, jana ni Waziri Maghembe pekee aliyewagomea Wabunge wa Kokus ya CCM huko ndani kwamba hataandika barua ya kuachia ngazi kama wenziwe, akaambiwa basi asubiri tu kufukuzwa kazi!

- More Dataz ni Mkulu amesharudi Dar leo na Emirates, na tayari ameshashuka Dodoma na Jumatatu mambo yatakuwa hadharani! STAY TUNED!

WAZEE WA SAUTI YA UMEME!; ES!
 
kuachia ulaji,hata ningekuwa mie nisingekubali ng'o......mpaka uachishwe ndio kufa kiume,lol:glasses-nerdy:
 
- More Dataz ni Mkulu amesharudi Dar leo na Emirates, kesho anashuka Dodoma kupokea na kukubali barua atakazopewa na Waziri Mkuu, za walioandika tayari yaani Mawaziri Saba, SO STAY TUNED!

WAZEE WA SAUTI YA UMEME!; ES!

JK yupo Dodoma sasa hivi halafu wewe unasema Kesho!!!!!? Hiyo kesho ndio anaondoka
 
- According to the dataz, jana ni Waziri Maghembe pekee aliyewagomea Wabunge wa Kokus ya CCM huko ndani kwamba hataandika barua ya kuachia ngazi kama wenziwe, akaambiwa basi asubiri tu kufukuzwa kazi!

- More Dataz ni Mkulu amesharudi Dar leo na Emirates, kesho anashuka Dodoma kupokea na kukubali barua atakazopewa na Waziri Mkuu, za walioandika tayari yaani Mawaziri Saba, SO STAY TUNED!

WAZEE WA SAUTI YA UMEME!; ES!

Mzee ES naona hii imekupita. JK keishatua Dodoma, kaamua aliloamua na amesharudi Dar tayari kwa safari ya Lilongwe kesho. Maagizo kamwachia Pinda, atayatoa jumatatu.
 
mmepotoshwa na ninyi kupotoka..
 
kuachia ulaji,hata ningekuwa mie nisingekubali ng'o......mpaka uachishwe ndio kufa kiume,lol:glasses-nerdy:
Jestina, Weweeee siunajua anaingia jamvini yule ... usitake Waziri afe kiume alafu apitie kuuliza how can I get to Jestina ...? anybody with her contact lol ... hapo sasa ukiunganishwa na sakata zima!! Lakini kweli nafikiri waziri lazima aonyesha last challenge ... Je akifanikiwa kuwatingisha na ku maintain Post.. tusubiri tuone!!
 
Last edited by a moderator:
- According to the dataz, jana ni Waziri Maghembe pekee aliyewagomea Wabunge wa Kokus ya CCM huko ndani kwamba hataandika barua ya kuachia ngazi kama wenziwe, akaambiwa basi asubiri tu kufukuzwa kazi!

- More Dataz ni Mkulu amesharudi Dar leo na Emirates, na tayari ameshashuka Dodoma na Jumatatu mambo yatakuwa hadharani! STAY TUNED!

WAZEE WA SAUTI YA UMEME!; ES!

Duh, kila mtu anasema lake
 
kuachia ulaji,hata ningekuwa mie nisingekubali ng'o......mpaka uachishwe ndio kufa kiume,lol:glasses-nerdy:

huyu jamaa ni muongo sana. Taarifa zake na uchambuzi wake ni wa kitoto. Sishangai amekosa ubunge kwani nilitarajia hivyo. I dont buy taraarifa za willy
 
Jumatatu tusishangae CAG akipigwa chini na Mkwe're kwa ajili ya kulinda maslah ya washkaji zake (washkaji wa mkuu)
 
huyu jamaa ni muongo sana. Taarifa zake na uchambuzi wake ni wa kitoto. Sishangai amekosa ubunge kwani nilitarajia hivyo. I dont buy taraarifa za willy
U mean taarifa hizi ni kutoka kwa Political loser!!??....
 
Back
Top Bottom