Always reactive never proactive.wadau jana Prof. Maghembe aligeuka kuwa kama JK kwenda kutembelea masoko ili kuona bei za mazao, ziara kama hizi zisizo na tija za kutafuta umaarufu zlishawahi kufanywa na JK ambazo mpaka leo hatujaona matunda yake na bei zilizidi kwenda juu sasa sijui waziri tu bei zitashuka?
wadau jana Prof. Maghembe aligeuka kuwa kama JK kwenda kutembelea masoko ili kuona bei za mazao, ziara kama hizi zisizo na tija za kutafuta umaarufu zlishawahi kufanywa na JK ambazo mpaka leo hatujaona matunda yake na bei zilizidi kwenda juu sasa sijui waziri tu bei zitashuka?
Waliambiwa na JK ANATAKA AWASIKIA KILA MAHALI "LEO FULANI YUKO ANAULIZIA KILO YA UNGA KESHO MWINGINE ANAANGALIA MITARO YA MAJI ILIVYOZIBA...... NDIYO FURAHA YA MKULU HIYO. HAHAHAHA!
Kila kitu ni kukosoa. Hiyo ni sifa ya MAZEZETA. Keep going.
Ndo maamndalizi ya kugombea urais 2015