Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,564
- 109,101
Mjengwa? maana nina aleji na hiyo blog ya michuzi na isitoshe hapa nimemshtaki member mwenzetu mjengwa ni kwa nini ajaballance haya matukio? itakuwa ni kumuonea tukisema amepewa pesa na kina Kusaga? maana kila alie hapa mjini anajuwa aibu walioipata clouds na kila njia wanayofanya kuficha ukweli.mbona michuzi alirusha picha za matamasha yote
Mjengwa? maana nina aleji na hiyo blog ya michuzi na isitoshe hapa nimemshtaki member mwenzetu mjengwa ni kwa nini ajaballance haya matukio? itakuwa ni kumuonea tukisema amepewa pesa na kina Kusaga? maana kila alie hapa mjini anajuwa aibu walioipata clouds na kila njia wanayofanya kuficha ukweli.
kanga moko laki si pesa
[video=youtube_share;8rxczvcWQOo]http://youtu.be/8rxczvcWQOo[/video]
Namsubili kwa hamu sana wiki hii aje na makala zake za kipumbavu tafsiri yangu, ili nimchane live maana yeye Maggid huwa achangii thread za member wengine, sasa namsubili kwa hamu sana jaa kali kabisa huyu.Kila leo mi nasema maggid ni gamba tu, hukumbuki kipindi cha uchaguzi mkuu??
Tunaongelea vyombo vya habari je ni sahihi Mjengwa kutoweka picha za Tamasha hili? unafahamu kinachoendelea wewe au unadhani tunauza sura hapa? wapenda haki hatuwezi kukaa kimya tukaangalia watu wakitumia pesa zao kunyanyasa wengine, Issue hapa ni kwa nini Mjengwa hajaupload hizi picha za Tamasha la Anti virus wakati hakuhitajika kupeleka mpiga picha pale uwanjani bali zipo humu humu kwenye internet? na nina uhakika anazo.Mkuu Matola tujifunze kubadilika kutokana na wakati...km ilivyo siasa,kutofautiana kimtazamo kusijenge uadui...nafikiri hujasahau ya B.I.G na 2pac...Vinegar kimpango wao,Clauds kimpango wao...Clouds ni duka la sanaa,kila mtu yuko huru kuanzisha la kwake!
Nakubali kutokukubaliana na wewe,........Matola,sio sahihi kwa mdau yeyote wa tasnia ya habari kuegemea upande wowote ama kwa makusudi ama kwa bahati mbaya...naam,hilo nalitambua na ni saratani kwa baadhi ya wanahabari ambao ni wengi...ni dhambi sawa na hiyo hiyo ya kuegemea upande mmoja kwa mwakilishi wa watu,ama mtu anayesimamia maslahi ya watu mathalan kusimama kwenye majukwaa rasmi na kutumia mic vibaya...Namkubali Sugu,ni jembe na role model wangu tokea enzi lakini ktk mgogoro huu na bwana Ruge namtizama Sugu ktk sura tofauti...Maggid alihudhuria tamasha la clouds,mbali ya uandishi ana mapenzi yake binafsi na ndilo alilofanya...
Hujaitwa, chapa mwendo usidhani muda wote watu wanawaza habari za ngono na mahusiano tu.Hayanihusu.
Joseph Mbilinyi
TAARIFA:NASKIA LEO JAMAA WAMEAMKA NA JIPYA,KWAMBA SHOW YA VINEGA ILIKUWA MATUSI MATUPU!
KWANZA SIO KWELI NA TUNATOA DVD NA UMMA UTAONA NA KUHUKUMU MANENNO YAO,PILI HIVI KUNA RADIO INA LUGHA CHAFU NA MATUSI KAMA CLOUDS FM??!!KWA MFANO TU,NI WAO WANAOPROMOTI UPUUZI UNAOITWA 'KANGA MOJA',YALE NI NINI KAMA SIO MATUSI NA UPOTOSHAJI WA MAADILI ULIOMBATANA NA UDHALILISHAJI WA WATOTO WA KIKE??!!
OKOA MAADILI YA TAIFA KWA KUSUSIA KUSIKILIZA CLOUDS FM!!!