Kama za mapera.Daah, yaani akili za watu wengine bhana.
Kwa kweli hata Kama sijatenda kosa,nitakuwa najifunza kuikariri na kuimiliki kauli mbiu ya "tii sheria bila shurti",kazi kwenu nyie mnaosubiria kulazimishwaView attachment 1113080View attachment 1113081
Kwani maposi wote ni wabayaHaya ni matumizi mabaya ya rasirimali watu, mtoto mzuri kama huyo anapewa upolisi?
Haya ni matumizi mabaya ya rasirimali watu, mtoto mzuri kama huyo anapewa upolisi?

nimeizumu picha ya pili hana hata ta..ko...Vunja sheria mkuu ukikamatwa utamkuta pale Central na mawasiliano yake atakupa yeye mwenyewe.Nisaidie mawasiliano ya huyo poti anisaidie Jambo pale Central
mkuu haya olewa hadi kazi kwako mkuu....naenda malawiHaya ni matumizi mabaya ya rasirimali watu, mtoto mzuri kama huyo anapewa upolisi?
Ulitaka awekwe kwenye bombardier?Haya ni matumizi mabaya ya rasirimali watu, mtoto mzuri kama huyo anapewa upolisi?
Kwenye ta..ko unatafuta nn?nimeizumu picha ya pili hana hata ta..ko...
Hakuna photo duka mkuu, huyo ni WP halisi labda useme kamera 360 imeongeza ulaini.Photo duka angalia vizuri