Magessa Mlongo yuko wapi?

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,707
Wana bodi,

Nauliza yule Mkuu wa Mkoa ambaye alikuwa Arusha baadae akahamia Mwanza ambako huko na madaraka yake ya ukuu wa mkoa alijifanya Mungu mtu sasa hivi yuko wapi?

Nakumbuka aliamrisha polisi wavamie nyumba ya Godbless lema mbunge wa Arusha saa saba ya usiku ili wamkamate kama mhaini au jambazi sugu.

Yuko wapi huyu mtu na kujitutumua kwake kote shauri ya ulevi wa madaraka.

Naomba mtu wa mwisho kumwona mtu huyo aniPM nimfuate nikamsalimie.
 
Mara ya mwisho nilimuona akizurura maeneo ya ubungo kwa miguu akiwa kapauka balaa. Na ha wa wanaosumbua kwa sasa wajiandae
 
Ataenda wapi... Atakua kitaa tu anajifariji kwa kuvuta bangi.. Hawa ndo watu wasiotumiaga akili kutumia madaraka kutengeneza connection
 
Baada ya mwanza aliletwa hapa Mara sisi hatuna mchezo

Akalianzisha bifu na kibaraka wa magu mkurugenzi wa butiama anaitwa maganga

Jamaa alimdai maganga rushwa kutokana na barabara itokayo makutano musoma mjini kuelekea mugumu kutokamilika Kwa kiwango cha lami

Baada ya maganga kukataa !jamaa akamlima barua ajieleze .

Maganga akampandia mkulu!

Basi siku si nyingi !ikatoka taarifa ikulu kwamba uteuzi wake umetenguliwa ......


Onyoo..tusitafutane

Don't mind me
 
Itakuwa yuko mahali tu anawaandalia makazi hawa wa Dar na Arusha watam join siku moja.
 


Huu ni ukweli mtupu..nakumbuka hii kitu! ila sikujua aliye mchomea ni nani! ...jamaa ana Masters si aombe kazi ..lol
 
Na maganga akapandishwa cheo kuwa DC Bukombe,

Mulongo akatumbuliwa na kusugua gaga!! Mwisho wa ubaya ni aibu
 
Mkulu hajiamini katka uongozi wake

Anatumia undugulization kulinda masilahi yake

Tegemeeni kuwaona wasukuma wakiendelea kutusua kwenye nyadhifa mbalimbali

Makonda ataendelea kung'aa kama karanga za chibu

Watumishi mnaolia njaa subirieni kifo tuwazike! La hasha msimame hizi harakati za watumishi kudai masilahi hazikuanza Leo toka1750 Britain

Vijana mnaolilia ajira pole sana ila jipange Kwa kura yako kuwang'oa wale wanafiki pale ikulu 2020

Utawala wa kisukuma utatumaliza

Don't mind me
 
Nilimtaja day 1 katika kilinge cha kahawa mtaa Fulani hivi zikatoka zinazisema alishawahi kule makao makuu ya wanaoacha kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…