Magereza pagumu kama jwtz?

Kuhusu kwenda Jwtz sidhani kama itakua rahisi kwake kwa sababu ni juzi tu nilikua makao makuu ya Jwtz Upanga nikaonana na wakubwa wa pale swali la kwanza walituuliza elimu yetu ikoje? Tulivyowaambia ni graduate wakasema ndio tunaowahitaji kwa sasa 7bu tuna Professional je dogo ana Professional yoyote? Kama hana ni ngumu kuingia huko kwa sasa haya ni maelezo yao wenyewe
 

Ngoja nikusaidie kama dogo kapata Div 4 form six hana chaguzi ya kazi yoyote itakayoipata akubali. Kama huamini hiyo kazi ya Magereza inayoonekana ya kimaskini kama hauna GodFather huko utaona ugumu wake. Watakuja Form Six wenye div Two Three wa kumwaga wote wakiwa na malengo waingie jeahini ili baadae wajisomeshe kupitia majeshini na watakubaliwa kutokana na kukidhi vigezo.
 

Kama una professiona majeshini at least unaweza ukaenjoy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…