ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,797
- 60,634
Hata huyo mwenye kinga naye atalala tu kwenye hayo magereza,muda utaongeaWapinzani mjiandae mana mnatengenezewa sehem mpya za kuishi. Ila hapa tz aloko salama ni mmoja tu mwenye kinga wengine wote ni wafungwa watarajiwa ni swala la muda hasa wapinzani . Ndo serikali tulonayo
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema serikali ina mpango wa kujenga magereza 52 katika maeneo tofauti nchini.
Masauni aliyesema hayo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Rorya, Lameck Airo (CCM). Katika swali lake mbunge huyo alitaka kujua serikali ina mpango gani wa kujenga gereza la Wilaya ya Rorya hasa baada ya kuwa kanda maalumu ya kipolisi.
Akijibu swali hilo, Masauni alisema serikali ina mpango wa kujenga magereza 52 katika maeneo tofauti likiwemo eneo la Rorya lakini changamoto kubwa ni upatikanaji wa fedha. Alisema Wilaya ya Rorya ni miongoni mwa wilaya 52 nchini zisizo na magereza.
Aidha kutokana na ufinyu wa bajeti, serikali itaendelea na ukamilishaji wa magereza ambayo ujenzi wake umekwishaanza ambapo kipaumbele ni kuhakikisha inakamilisha miradi ambayo ipo katika hatua mbalimbali za ujenzi.
WalahiWapinzani mjiandae mana mnatengenezewa sehem mpya za kuishi. Ila hapa tz aloko salama ni mmoja tu mwenye kinga wengine wote ni wafungwa watarajiwa ni swala la muda hasa wapinzani . Ndo serikali tulonayo
Marekani wakija na manuari kumfurumusha na yeye atalala humo humo kama Sadam Hussein, Charles Taylor na wengineoHata huyo mwenye kinga naye atalala tu kwenye hayo magereza,muda utaongea
CCM wabunge wake wengi ni wavuta BangiYaani Lameck ktk kipindi chako chote cha ubunge jimboni kwako upungufu uliyobaini ni wa gereza tu? Watu wanaomba miradi ya maendeleo wewe unaomba gereza?
Baadae humo watalala akina Bashite kwa ufisadi wanaofanya sasa ikija Serikali ingine Bashite atakuwa wa kwanza kupelekwa kwenye magereza mapyaBadala ya kujenga shule na hospitali nyie mnawaza kujenga jehanam.....huyu mzee ni mwehu kwelikweli
Wao katibu mkuu wizara ya fedha ni mtoto wa nje wa mtukufu ingawa huzuga kuwa ni mtoto wa dada yake, mtu na baba yake ndiyo wakuu wa hazina ya Taifa unategemea nini? Huchukua pesa BOT mda wowote wakitaka hata saa nane usiku, wakiamua watajenga hizo Gereza pa kuchukua pesa si humo Hazina ambapo wao ndiyo wamiliki kwa sasa.Afadhali hizo pesa zisipatikane tu
Inasikitisha sana wakati wenzetu ulaya magereza yanakosa wafungwa wanayafunga na kubadilisha matumizi.Gharama ya kujenga hayo magereza wangefunga cctv kila mji.Pia kuwekeza katika elimu mikoa ya ziwa victoria penye mauaji kila sikuWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema serikali ina mpango wa kujenga magereza 52 katika maeneo tofauti nchini.
Masauni aliyesema hayo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Rorya, Lameck Airo (CCM). Katika swali lake mbunge huyo alitaka kujua serikali ina mpango gani wa kujenga gereza la Wilaya ya Rorya hasa baada ya kuwa kanda maalumu ya kipolisi.
Akijibu swali hilo, Masauni alisema serikali ina mpango wa kujenga magereza 52 katika maeneo tofauti likiwemo eneo la Rorya lakini changamoto kubwa ni upatikanaji wa fedha. Alisema Wilaya ya Rorya ni miongoni mwa wilaya 52 nchini zisizo na magereza.
Aidha kutokana na ufinyu wa bajeti, serikali itaendelea na ukamilishaji wa magereza ambayo ujenzi wake umekwishaanza ambapo kipaumbele ni kuhakikisha inakamilisha miradi ambayo ipo katika hatua mbalimbali za ujenzi.
Sasa hata Kama wangefunga CCTV halafu zikanasa matukio SI lazima sheria ichukue mkondo wake..huwezi kujua kiwango Cha uvunjaji wa sheria kimeonekana Ni kikubwaInasikitisha sana wakati wenzetu ulaya magereza yanakosa wafungwa wanayafunga na kubadilisha matumizi.Gharama ya kujenga hayo magereza wangefunga cctv kila mji.Pia kuwekeza katika elimu mikoa ya ziwa victoria penye mauaji kila siku
ISIS
MSAGA SUMU
Mshana Jr
Pascal Mayalla