Members wote wa MS- 13 hapo nyuma ilikua lazima uwe na face tattoos, lakini sikuhizi ili kuepuka kufahamika kirahisi in public basi tattoos huchorwa sehemu nyingine za mwili.
Tatoos huwa ni za maneno MS, MS- 13, Mara Salvatrucha au pembe za shetani (devil horns).
Kila gang lina aina yake ya "Initiation" kwa Mara Salvatrucha new recruit hutakiwa kuvumilia kipigo kizito cha 13 seconds bila kutoa kelele yoyote.
Biashara haramu ya madawa ya kulevya ina faida sana huko Marekani (USA) hivyo makundi mengi hupigana yenyewe kwa yenyewe yakigombea udhibiti wa soko la hiyo biashara.
Biashara haramu ya madawa ya kulevya ina faida sana huko Marekani (USA) hivyo makundi mengi hupigana yenyewe kwa yenyewe yakigombea udhibiti wa soko la hiyo biashara.