Magazine/Jarida la afya [DODOMA]

Folota Rubber Stamp

Senior Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
150
Reaction score
101



Jarida mahususi lililosheheni masuala mbalimbali ya afya, lishe mazoezi na mengineyo mengi limeandaliwa na wabobezi mbalimbali kutoka sekta ya afya.
Karibu ujipatie nakala yako sasa kwa gharama ya Tsh 5000/= tu.

Kwa wakazi wa Dodoma nafanya free delivery kwa maeneo yote ya mjini.
Wasiliana nami kupitia namba 0712132888.

Afya ndio kilakitu, pata nakala yako sasa.



NB:
Jamii Health ni kampuni iliyosajiliwa kisheria, imejikita katika makala za elimu afya, haina mahusiano na jamii media (jamii forums), nimeweka hili makusudi kuepusha utata juu ya ufanano wa neno "jamii".
Karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…