Magauni bei za jumla

Danhappy

Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
71
Reaction score
205
Pata gaun bei 20,000/= tupo Arusha kijenge mwanama

Tupigie 0743664080
Wsp 0769392185(ipo wsp tu kuchagua aina utakayo)

 
Dar tunanunuaa 12000
Mzigo wangu unatoka nairob na naishi huko na biashara zangu branch yangu ipo Arusha....inawezekana wanauza hadi 5000/= maana ni copy mzigo wangu original siwez jifananisha nao
 
Samahan wewe ndio huyo mdada kwenye hyo picha?
 
Ndugu. Kwani huna cm ya kupigia picha.
Mbona mnafanya mambo kizamani hivyo
 
Ndugu. Kwani huna cm ya kupigia picha.
Mbona mnafanya mambo kizamani hivyo


Huyu ndo mimi naitwa Happy Samki
Mdogo wangu huyo anaitwa Flora Samki

0743664080 namba ya flora

Namba zangu wsp +255769392185
Namba ukiwa kenya +254734491211

Karibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…