Msaada kwenye tuta wanajamvi. Hivi haya magari yenye namba za usajili zinazoanzia na RAC ni ya taasisi gani? Nimekuwa nikiyaona sana mtaani lakin siyaelewielewi kabisa maana namba za magari ya serikali meng ni STK etc sasa hawa wao ni kitu gani? Nawasilisha!

ni shirika la reli, mkuu usipotoshe jukwaani ya makatibu tawala wa mikoa. kirefu chake ni regional administrative officer
ni ya makatibu tawala wa mikoa. kirefu chake ni regional administrative officer
ok ok....so RAC ni Regional Administrative Office.......
Kuna jamaa alipost eti hata kama upo na ndege angani umekwama we bandika tu jf utaelekezwa hadi jinsi ya kuendesha...hahaha
ni ya makatibu tawala wa mikoa. kirefu chake ni Regional Administrative Secretary.
Duh! Mkuu umenikumbusha duniani maana walianza na RAA wakaja na RAB na hivi sasa RAC tena wangekuwa mbali kama sio mdudu mbaya aliyewaingia maana palikuwepo MALORI, MABASI na magari madogo madogo ya ukaguzi. Enzi hizo raha bwana.Ni magari ya shirika la reli na kirefu chake ni Railway Asset C. zamani kulikuwa na A na B.
mje mjekuru #natumaini umeona walioadhibiwa macho nahisi unatafuta kugawa sikio lako la kushoto sasa