kipimo kizuri cha gari kaka ni body...engine sikuhizi tunafalisha za corrola ltd..afterall ni fuel efficient ones....upande wa odometer mie sidhani kama ni issue saaana maana hapa town unaweza kupata haata gari ya 0.0000km ilhali dunia nzima inajua imetembea sana tuuu.....swali loa kizushi...KWANI UNAUZA BEI ZA KUTUPA KI-HIIIVYO...wazee wa ushuru wao wanahusika???...nawasilisha maoni