Magari yanauzwa bei poa!

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
1. Toyota Rav 4 manual model ya 1995 silver milango mitano. Bei 5.5mil.

Wai usichelewe.

kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia simu na 0717114409 au 0755312233 au 0784225000
 

Attachments

  • 500.jpg
    500.jpg
    22.8 KB · Views: 406
  • 501.jpg
    501.jpg
    34.4 KB · Views: 384
  • 503.jpg
    503.jpg
    41 KB · Views: 337
  • 504.jpg
    504.jpg
    36.7 KB · Views: 310
1. Toyota Rav 4 manual model ya 1995 silver milango mitano. Bei 6.5mil. maelewano yapo.

2.Nisani Mistral 1995manual nyeusi milango mitano. bei 7.5mil. maelewano yapo.

Mkuu hizi ngoma milimani zitafikaje, au ZINATEMBEA?
 
GP mkuu, naona 6.5M kwa RAV4 ni bei poa zaidi ya poa, ndiyo maana nikauliza, kwa kweli ni bei poa ile mbaya.

mi nilishangaa umeuliza mlimani yatafikaje!, si yanatembea?, kasema mlimani city
they are so cheap, labda sijui ODOMETER inasemaje.
 
Mzee tungeziona picha maana wajua unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia. kwa bei hiyo je imeenda bodi mara ngapi? na used zanz au dar?
 
1. Toyota Rav 4 manual model ya 1995 silver milango mitano. Bei 6.5mil. maelewano yapo.

2.Nisani Mistral 1995manual nyeusi milango mitano. bei 7.5mil. maelewano yapo.

Mkuu bei ziko poa sana! nitakutafuta. Ila RAV4 kwahiyo bei. mhhh!!!
 
kipimo kizuri cha gari kaka ni body...engine sikuhizi tunafalisha za corrola ltd..afterall ni fuel efficient ones....upande wa odometer mie sidhani kama ni issue saaana maana hapa town unaweza kupata haata gari ya 0.0000km ilhali dunia nzima inajua imetembea sana tuuu.....swali loa kizushi...KWANI UNAUZA BEI ZA KUTUPA KI-HIIIVYO...wazee wa ushuru wao wanahusika???...nawasilisha maoni
 
Back
Top Bottom