Hata gunia moja tu linalipiwa ushuru wa maliasili kuanzia tsh 3000.Kwani ni wa biashara
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha wivu wewe, hiyo inaitwa baba karudi. Mwanaume ukirudi safari wapaswa kuwa na zawadi ya familia
WivuLeo nilikuwa mahali kwenye mishe nimeshudia gari 'mpya' za polisi zilizokarabatiwa kule Moshi zikipita kwa mbwembwe. Lakini cha kushangaza kila gari ilionekana kusheheni magunia ya mkaa. Cha kujiuliza hapa hiyo ndio kazi yake? ,Pili wamelipia ushuru maliasili? Maana wamepita kwenye point moja ya maliasili wala hawakusimama.
NawasilishaView attachment 630166
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio askari tu wanaofanya hivyo hata mimi mtumishi wa kawaida kabisa wa halmashauri nikisafiri na pick up ya ofisi siachi kubeba mkaa kwahiyo mleta mada acha wivu kama na wewe unataka kua askari...huu ushuzi wako mpelekee Mange Kimambi ndio atauona dili shwaini wewe
Magari mapya yametoka moshi.....yamebeba mkaa fullAcha umbea yaani polisi tu ndio umewaona kuna DFP na STK na STL ngapi zinapita na magunia ya mikaa au vile polisi, vijana wa kizazi cha kulalamika
Ulitaka yakubebe weweMagari mapya yametoka moshi.....yamebeba mkaa full