Wabongo wanaclaim tu, hayana tatizoWapendwa wenye uzoefu wa magari naomba mnijuze magari ya Nissan yana tatizo gani...nimekuwa nikiambiwa nisijaribu kununua gari ya Nissan lolote kwani litanisumbua ninunue tu kampuni ya Toyota.sijajua tatizo ni nini..Mimi kuna gari la Nissan Primera nalipenda na ninatamani kulinunua ila nimeambiwa magari yote ya Nissani kipengele,nimewauliza hao wanaosema hivyo kama wamewahi kumiliki Nissan wanasema na wao waliambiwa hivyo..so nimeona nisije nikaacha kitu cha maana kwa ajili ya maneno ya kuambiwa..maana akili za kuambiwa,changanya na zako[emoji16]
Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
Nimekua na nissan sunny, skyline, March na extrail sikupata shida ya kutisha...kufuatilia services zake tu ndio muhumu.Wapendwa wenye uzoefu wa magari naomba mnijuze magari ya Nissan yana tatizo gani...nimekuwa nikiambiwa nisijaribu kununua gari ya Nissan lolote kwani litanisumbua ninunue tu kampuni ya Toyota.sijajua tatizo ni nini..Mimi kuna gari la Nissan Primera nalipenda na ninatamani kulinunua ila nimeambiwa magari yote ya Nissani kipengele,nimewauliza hao wanaosema hivyo kama wamewahi kumiliki Nissan wanasema na wao waliambiwa hivyo..so nimeona nisije nikaacha kitu cha maana kwa ajili ya maneno ya kuambiwa..maana akili za kuambiwa,changanya na zako[emoji16]
Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
asante sana...comment yako very helpful..a lot of misinformation...yaan mtu kakariri tu na anaaminisha wengineWabongo wanaclaim tu, hayana tatizo
asante sanaa mkuu...mnanisaidia mno kufanya maamuzi based on experience na ukwelu na siyo tu myth na uzushiNissan ni nzuri na imara sana.
HAKUNA spair za kunjuga kama Toyota. Spair ni gharama sana ndio maana rafiki zako walikuwambia usinunue hiyo Gari. Lakini ukifunga umemaliza mchezo.
asante sana mkuu kwakweli mpaka hapa nimepata uhakika wa nini cha kufanya...comments zenu zimenisaidia na kunifungua ufahamu sana...maana nimeaminishwa hivyo for years na mimi ningeaminisha hata wengime,kumbe viti si vya kweliHata toyota kuna magari mabovu mengi sana yapo gereji ,nissan forever hakuna ubaishaji very coftable ,stability and good fuel consuption
sawa kiongozi,asante kwa angalizoUkweli ni kuwa, wewe jipange kwa gharama za spear na services. Nissan haitaki mzaha. Ni parefu kidogo ikiwa utailinganisha na Toyota.
hahahaha unajua shida ni hii hii ambayo nimeiulizia hapa,watu hawawezi kununua Nissan sababu tumeaminishwa vitu negative kiasi kwamba hata utakapoinunua,kuiuza ni kipengele hainunuliki kiurahisi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]naweza nikakuuliza kama umewahi kumiliki na kujaribu kuiuza,jibu utaniambia hapana ila uliwahi kuambiwa hivyo
Kwa nini ununue Gari na kuiuza?hahahaha unajua shida ni hii hii ambayo nimeiulizia hapa,watu hawawezi kununua Nissan sababu tumeaminishwa vitu negative kiasi kwamba hata utakapoinunua,kuiuza ni kipengele hainunuliki kiurahisi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]naweza nikakuuliza kama umewahi kumiliki na kujaribu kuiuza,jibu utaniambia hapana ila uliwahi kuambiwa hivyo
Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app