Magari ya Formula One

The Icebreaker

Platinum Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
39,674
Reaction score
123,467
Mashindano ya magari maarufu kama formula one F1 hufanyika kwa kuhama hama
Kutoka nchi moja kwenda nyingine,kwa mfano race itafanyika Malaysia halafu inafanyika Brazil,swali langu ni kuwa hivi yale magari ya F1 huwa wanayasafirisha kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine au kila nchi yenye ku host hayo mashindano huwa hayo Magari yapo huko huko?
Msaada kwa wenye kujua.
 
Hayo magari huwa yanabebwa kwa ndege special mpaka nchi wanazoshindania, ninapenda sana hayo maahindano na nimewahi kwenda Silverstone UK,
 
Yeah! Kujenga gari moja la F1 ni gharama kubwa sana... Huenda ikawa sio chin ya USD 1 Million. So ni muhimu ku move nalo...
 
Na gari uliloanza nalo mashindano hauruhusiwi kubadilisha na kuleta jipya ni kufanya matengenezo na repairs tu sababu timu ikiwa na magari mengi hii inaweza ikatafsiriwa kama unfair advantage hence kunyanganywa points
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…