Magari ktk barabara dsm

Magari ktk barabara dsm

joseph mwita

Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
7
Reaction score
0
Wana JF, Mi nionavyo kuhusu foleni katika Jiji la Bongo ni kuchukwa maamzi makali ya kuamua kuzuia magari yenye kubeba abiria chini sita kuingia mjini. Pia na Sumatra kutoa leseni kwa mabasi makubwa tu
 
hivi ule mpango wa mabasi yaendayo kasi vipi? naona kama unasua sua, nadhani ule ukifanikiwa foleni za bongo zitakwisha.
 
foleni dawa yake ni ndogo sana kuzuia ujenzi wa majengo makubwa maeneo ya kkoo na posta,,kupaacha pale kkoo na posta pawe old Dar...kuhamisha serikali yoote iwe maeneo ya kuanzia kibaha kwenda chalinze na kujenga jiji jipya hapo lenye mabarabara mapana gari 5 zinaenda 5 zinakuja hutaona foleni...
 
Vipanya na hayo yanayobeba abiria wachache ni vya wakubwa, si unasikia SUMATRA walidai kuwa mengi yao ni ya Maaskari?? na msongamano unasababishwa kwa kiwango kikubwa na uendeshaji mbovu?? Kwa udereva huu wa bongo hata kukiwa la lane 50 tatizo litakuwepo tu na ajali zitaongezeka. Ushahidi ni kuongezeka kwa ajali nchini baada ya barabara nyingi kuboreshwa??
 
Back
Top Bottom