Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 547
- 620
Natafuta Body ya Rav 4 L Old, milango mitano zile. Mwenye nayo ani PM
Nenda Tandale zipoNatafuta Body ya Rav 4 L Old, milango mitano zile. Mwenye nayo ani PM
duh kwani kuna magari hayana AC ??Ac ipo na inafanya kazi..au we umeelewaje.?
Poa poaNenda Tandale zipo
Kuna nyegine AC Zipo lakini hazifanyi kaziduh kwani kuna magari hayana AC ??
Hivi hakuna sehemu nyengine zaidi ya Tandale? Maana nilipita pale Jana kutoka Magomeni mpaka Sinza sema sikuoni ambazo zipo vizuri.Nenda Tandale zipo
Pale ndio mahakama ya mabodyHivi hakuna sehemu nyengine zaidi ya Tandale? Maana nilipita pale Jana kutoka Magomeni mpaka Sinza sema sikuoni ambazo zipo vizuri.
Wapi naweza pata gari za hivi used kwa Mwanza..iwe mwanza tu anae jua locationView attachment 1973841