kisugujira JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 774 Reaction score 200 May 17, 2013 #21 Zimeruhusiwa tuchape kazi mwendo mdundo.
Mr Anold JF-Expert Member Joined Jan 19, 2012 Posts 218 Reaction score 47 May 17, 2013 #22 Huku Moshi zinachapa kazi kama kawaida ila ni za Askari na maafisa wao tu, mie nilitaka kuirudisha road baada ya kuona zipo ila mshikaji wangu ambae ni askari akanitonya...... Ningefanywa mtaji. Kama vipi waturudishie uhalali tu
Huku Moshi zinachapa kazi kama kawaida ila ni za Askari na maafisa wao tu, mie nilitaka kuirudisha road baada ya kuona zipo ila mshikaji wangu ambae ni askari akanitonya...... Ningefanywa mtaji. Kama vipi waturudishie uhalali tu