Maganda ya nanasi ni tiba kwelikweli

Maganda ya nanasi ni tiba kwelikweli

Kuna mdau juzi amenipa ushuhuda alisumbuliwa Sana na tumbo anapewa dozi za typhoid nyingi bado hali haikutengemaa.
Akachemsha mananasi machanga akanywa maji yake. Tatizo la tumbo likaisha mara moja.
 
Back
Top Bottom