Maganda ya chungwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maganda ya chungwa

Discussion in 'JF Doctor' started by KAKA A TAIFA, Jul 12, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  WATU WENGI WAMEKUWA NA MAZOEA YA KULA NYAMA YA NDANI (PULP) YA CHUNGWA NA KUDHANI KWAMBA MAGANDA HAYANA FAIDA.MAGANDA YANATUPATIA ,VITAMIN A ,C NA VIRUTUBISHO VINGINE VINGI. FAIDA ZA MAGANDA NI PMOJA NA KUPAMBANA NA MAGONJWA,KUSAIDIA KATIKA MYEYUSHO WA CHAKULA,PUNGUZA MATATIZO YA TUMBO,PUNGUZA ASIDI,PUNGUZA KUHARISHA,SAIDIA KATIKA MYEYUSHO WA MAFUTA ,PUNGUZA MAFUTA KWENYE MISHIPA YA DAMU,KUPAMBANA NA KANSA YA NGOZI NA MATITI,HUSAIDIA PIA KUPUNGUZA UKALI WA MPENYEZO MIALI YA JUA MWILINI,HUSAIDIA KUPAMBANA NA MAFUA NA BARIDI.PIA HUTUMIKA VIWANDANI KUTENGENEZADAWA ZA KUPULIZIA WADUDU,DAWA ZA KUSAFISHIA ,DAWA ZA KULETA HARUFU NZURI.:[h=1]Health Properties of Orange Peel:
  When you eat a juicy orange you typically toss away the peel, unaware of its health properties. Orange peel can aid digestion, reduce infection, lower cholesterol and fight skin and breast cancer. It makes good bug and cat repellent and is a useful cleanser and deodorizer. Orange peel is also delicious candied or grated and added to meals, deserts and beverages. For maximum health, choose organic orange peel and avoid ingesting pesticides, herbicides or wax coating used to enhance appearance.:
  Digestion:
  You can use orange peel to repel ants, mosquitoes and other insects by pureeing the peel with a blender or food processor and spreading it around the area you wish to protect. The oil from the peel also makes an excellent bug repellent when applied topically. Sprinkle orange peels around your garden to repel cats, as they do not like the sharp smell and will avoid digging near them. In addition, the acidic properties of orange peel make it an effective cleanser and deodorizer. It can be used in soaps, toothpastes and other personal hygiene products, as well as in household cleansers and deodorizers.
   
 2. jaffari yogo

  jaffari yogo JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2014
  Joined: Apr 3, 2014
  Messages: 681
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Hasante sana mkuu kwa ushauri mzuri maana mimi maganda huwa natupa siku zote nikila chungwa. Kwa sasa nimeelewa faida yake.
   
 3. S

  SOUND HEALTH Member

  #3
  Dec 5, 2014
  Joined: Jul 8, 2014
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Limonene ni dawa inayotokana na maganda ya chungwa. Dawa hii ni maarufu kwa kuondoa sumu mwilini kupitia ini.katika hatua ya kwanza ya utoaji sumu(phase i detoxification ini hutumia limonene ili kusawazisha makali ya sumu mbalimbali.tafiti zimonesha pia kwamba ganda la chungwa lina viasili vngine-phytochemical compounds-vyenye uwezo wa kusaidia ini kutoa sumu katika phase ii.
  Lakini ikumbukwe kwamba lina mafuta makali sana -essential oil-yanaweza kudhuru koo yakitumiwa isivyo faa.soundhealth ubungo riverside wanazo bidhaa za limonene 0716 60 99 16 au 0759 67 15 43
   
Loading...