mr arsenal
Member
- May 21, 2012
- 35
- 6
Magamba mmetunyonya vya kutosha katika kila sekta kiakili tumeshakomaa. sasa endeleeni na propaganda nyanya tuone mwisho wenu mnajivunia hazina kubwa ya wajinga mnao wadanganya ila siku watakapo funguka akili mtakiona