Magaidi wa Hamas wapata pigo tena!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,000
Reaction score
7,618
⚠️picha⚠️

Magaidi 2 waliuawa katika shambulio lililolenga gari la magaidi kwenye mlango wa al-Zahra, kaskazini magharibi mwa kambi ya Nuseirat katikati mwa Gaza.
Magaidi wa Hamas wanazidi kupukutishwa tuwaombee tu!!

Tena, ndege ya upelelezi ililenga eneo karibu na Makutano ya al-Samer katika Jiji la Gaza, kaskazini mwa Gaza, na kuwaua 3.
 
Yahudi kutoka kilimatinde unaleta uharo jamvini.
 


View attachment 3636192
 
Mashariki ya kati wanachojua ni kuuana tu

Leo nimesikia tena na Pakistan jamaaa kajitoa mhanga kauwa watu kama 14 hivi
Huko mahala kupoa sijui itakuwa lini maana kila siku mto unawaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…