Wacheni kuchonganisha watu. Toeni mawazo mbadala.
Sasa Kama mnazalisha iweje msinuffaike...umizeni vichwa sio kulalama..hata hiyo gesi hamtafaidi
BxAarfa Mziki wenyewe ni hapo mgombea urais wa CCM atakapochaguliwa kutoka bara
Viongozi wapu-mba-vu ndiyo wanaoliangamiza Taifa, Maamuzi ya wananchi ndiyo msingi wa utawala uliopata ridhaa. Tafakarini ni nini muhimu katika kuleta mabadiliko ya kweli kwenu na kizazi chenu. Mkitegemea CCM wanaojuana, Ukoko mtaambulia.Hivi unajua Pemba tupo nyuma kiasi gani wakati sisi ndio Allah katujaalia hayo mafuta,karafuu na mengi ambayo Zanzibar inaringia sisi hatujatangaza kujitenga voo hapana tunachotaka ni haki itendeke wala sikusema tunataka serikali yetu Pemba hapana ninachotahadharisha mm ni ile namna ya huo mchakato kuendeshwa.
Mbona watu waliwasupport Mtwara ambao ni mkoa tu iweje kwetu iwe ndio ubaya wakati ni kisiwa?
sasa na haya mafuta labda wayachimbe Unguja ambako kuna tone tu la mafuta ila wakija wakichimba Pemba ambako ndipo yalipo hasa hayo mafuta kutachimbika this time.
CUF wamekuwa wanafiki kwa Mtwara tunawasubir hili sababu Pemba ndio tuliowapa jeuri hawa CUF.
Tumezoea kufanyiwa unyama na hawa wanasiasa na baadae kututumia kama simu ya touch .
CUF iliisema sana CCM wakati ipo madarakan pekee kama ndio inaitenga Pemba sasa tunataka wao watuoneshe kwa vitendo kwenye hili la mafuta ikiwa yatachimbwa katika ardhi yetu sababu nawao sasa ni serikali pia.
Sisi ni visiwa viwili tofauti neno Zanzibar tu ndio limetuweka pale pamoja na juhudi za Mkoloni baada kukosa karafuu Unguja sasa isiwe sababu kugeuzwa mkoa wa Zanzibar bwana.
Karafuu sisi ndio tunatoa 70% lakin inanufaisha Unguja zaidi yetu sisi ,sasa nahofia mafuta kuchimba kwetu halafu eti Unguja ndio iwe na maamuzi ya kile ambacho sisi ni mali yetu its better wakichimba hilo tone lao huko Unguja !
wewe ni mtanganyika ulie jivisha ujinga kuwasemea wapemba nahisi unaumwa na z'bar kuendelea endelea na propaganda za kinyerere
Juzi ccm unguja walikuwa wakali sana wakati walipokuwa wakimjadili Mansour kwa kutotiii katiba ya chamba hayo yalikuwa maneno ya Mbunge chombo, akaendelea kusema kwamba ikiwa wapemba wanataka kuuvunja muungano wacha tuvunje muungano wa unguja na pemba, hehe hawajui kwamba unguja uchumi wake unasimama na wanzanzibari wenye asili ya pemba, wafanya biashara wote wa unguja kutoka pemba, mafuta yapo pemba, karafuu pemba, ana jeuri gani huyu na mahafidhina wengine wa unguja kuleta ubaguzi wao baina yetu wanzanzibari ?sasa na haya mafuta labda wayachimbe Unguja ambako kuna tone tu la mafuta ila wakija wakichimba Pemba ambako ndipo yalipo hasa hayo mafuta kutachimbika this time.
CUF wamekuwa wanafiki kwa Mtwara tunawasubir hili sababu Pemba ndio tuliowapa jeuri hawa CUF.
Tumezoea kufanyiwa unyama na hawa wanasiasa na baadae kututumia kama simu ya touch .
CUF iliisema sana CCM wakati ipo madarakan pekee kama ndio inaitenga Pemba sasa tunataka wao watuoneshe kwa vitendo kwenye hili la mafuta ikiwa yatachimbwa katika ardhi yetu sababu nawao sasa ni serikali pia.
Sisi ni visiwa viwili tofauti neno Zanzibar tu ndio limetuweka pale pamoja na juhudi za Mkoloni baada kukosa karafuu Unguja sasa isiwe sababu kugeuzwa mkoa wa Zanzibar bwana.
Karafuu sisi ndio tunatoa 70% lakin inanufaisha Unguja zaidi yetu sisi ,sasa nahofia mafuta kuchimba kwetu halafu eti Unguja ndio iwe na maamuzi ya kile ambacho sisi ni mali yetu its better wakichimba hilo tone lao huko Unguja !
Juzi ccm unguja walikuwa wakali sana wakati walipokuwa wakimjadili Mansour kwa kutotiii katiba ya chamba hayo yalikuwa maneno ya Mbunge chombo, akaendelea kusema kwamba ikiwa wapemba wanataka kuuvunja muungano wacha tuvunje muungano wa unguja na pemba, hehe hawajui kwamba unguja uchumi wake unasimama na wanzanzibari wenye asili ya pemba, wafanya biashara wote wa unguja kutoka pemba, mafuta yapo pemba, karafuu pemba, ana jeuri gani huyu na mahafidhina wengine wa unguja kuleta ubaguzi wao baina yetu wanzanzibari ?
Kweli elimu ni muhimu sana, mimi niko tayari kujitenga na unguja kama tutaendelea na muungano wa tanganyika na zanzibar kwa mfumo huu tulionao mbili kwenda moja, siko tayari kuitwa mtanzania au mtanganyika. ever