yanapatikana kwa wajasuriamali hasa wakina mamaMmmh, Ubuyu ubuyu kweli au? Hii si sawa na kutafuta machozi ya simba?
Mmmh, Ubuyu ubuyu kweli au? Hii si sawa na kutafuta machozi ya simba?
Mkuu nadhani uliposikia mafuta ya ubuyu nadhani umefikiria ule unga wake. Hapana mkuu haya mafuta yanatokana na mbegu za ubuyu.Mmmh, Ubuyu ubuyu kweli au? Hii si sawa na kutafuta machozi ya simba?
Yanasaidia nguvu za kiume!
Stock bado ipo mtumishi,ni sh 25000 kwa litaKuna mtu alikuwa anatangaza anafanya biashara ya mafuta ya ubuyu. Je stock bado ipo? Na bei ikoje sasa?
stock ipo na sasa lita moja inapatikana kwa shilingi elfu30
Wanajamii naomba mnipatie contact za muuzaji wa mafuta ya ubuyu plse.
Naomba tuwasiliane kwa yeyote anayetafuta mafuta ya ubuyu piga simu namba 0767212523.Wanajamii naomba mnipatie contact za muuzaji wa mafuta ya ubuyu plse.