Mafuta ya taa (kerosene)

Mbali sana hakika, but ulikuwa wakati mzuri pia mkuu
 
very interesting and educating,asante mkuu...i wish JF hii ya zamani irudi,ya siku hizi imejaa kebehi ujuaji na mapenzi tu ya mitandaoni,shame!
 
Zama hizo watu walikua wanatumia kuni zaidi kwenye shughuli za upishi...

Mafuta ya taa yakawa yanatumika kuwashia mwanga kama kwa kutumia vibatari au koroboi/karabai pekee, kabla majiko ya kutumia hayo mafuta ya taa kutengenezwa...


Ni sawa na Mafuta ya kula/kupikia...


Cc: mahondaw
 
Basi ita mafuta ya mwenge. Simple tu
 
ha ahahahahah ndio maana asubuhi mama muuza filigisi huwa anaamka nostrills nyeusi tii kama exhaust ya gari la mashindano sababu ya hizo koroboi...
Sio nostrils tu hata masikioni mkuu,karibu kwetu,ukifika ntakupa offer ya kichwa cha jogoo na kidusi cha mtetea siunajua kinavyonona..
 
Matumizi makubwa ya mafuta ya taa (kerosene/parafin) ni kuendeshea injini za ndege (jet engines) yanakua na ubora tofauti na yale tunayowashia vibatari nyumbani lakini ni mafuta ya taa yaleyale
 
Nilijua utazungumzia jinsi yalivyopanda bei kwa sababu ya kuzuia uchakachuaji! na labda ungeshauri yashushwe maana kwa sasa ubabaishaji umepungua kidogo.
upande huo tuwaachie wanasiasa!
 
Matumizi makubwa ya mafuta ya taa (kerosene/parafin) ni kuendeshea injini za ndege (jet engines) yanakua na ubora tofauti na yale tunayowashia vibatari nyumbani lakini ni mafuta ya taa yaleyale
Pamoja na kuendesha injini za ndege lakini jina limebaki mafuta ya taa!
 
Aiseeee"" kumbe ""
 
Utakuwa Umeishi Mjini umeme umeukuta siye wengine Tulioishi Umeme ukatukuta Tunaelewa kuwa yanaitwa Hivyobkwa sababu yalikuwa yanatumika kwenye Taa za Chemli unaweka Mafuta Ili Uweze kuona
na hili ndio jibu stahiki ""
 
MwanaCCM huna akili.
 
Sie bado tunayatumia huku kwetu Dar maeneo ya Tandale kuuzia miguu ya kuku na filigisi usiku...
Bado hamjaanza kutumia betri na taa za umeme wa betri kama maeneo mengine hapo Dar?
 
Bonus nakupa ni Kwamba haya mafuta ukiyapata yale yaliyo masafi kabisa basi unaweza kuyaweka kwenye tank la ndege na ikapaa bila wasiwasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…