kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,432
Shell ilikuwa ni moja ya kampuni za awali kufanya biashara ya kuleta nchini na kuuza mafuta katika nchi yetu kipindi cha nyuma.wakikupa jibu,then pia watuambie kwanini vituo vya kuuzia nishati za hayo mafuta vinaitwa sheli?
Kumbuka vipindi vya zamani watu walitumia zaidi nishati ya kuni na mkaa kidogo hasa mijini.Mafuta ya taa ni nishati inayotumika katika matumizi ya vitu mbali mbali,lakini jina lake maarufu limebaki kuwa mafuta ya taa,swali ni nani alitunga hilo jina na kwanini yawe ni mafuta ya taa tu,wakati yanatumika kwenye vitu vingine zaidi ya taa!
Kuuliza si ujinga!
Kampuni ya shell ni miongoni mwa makampuni ya kwanza kutoa huduma, ndipo yakawa mapokeo kwa vituo hivi kuitwa sheli.wakikupa jibu,then pia watuambie kwanini vituo vya kuuzia nishati za hayo mafuta vinaitwa sheli?
Swadaktaaaa nakumbuka enzi zile mwanzoni mwa miaka ya 90 nikiwa kijijini kule basi mafuta ya taa ndio ilikua bidhaa muhimu sana pindi ifikapo usiku tunawasha koroboi zetu basi tunafanya yetu mpaka mida ya kulala, so hii ni sababu yakaitwa mafuta ya taaKumbuka vipindi vya zamani watu walitumia zaidi nishati ya kuni na mkaa kidogo hasa mijini.
Mafuta haya yalitumika zaidi kwenye taa, ndipo lilipoanzia hili jina
ntakuja hapo andaa filigisi NNE na miguu ya kuku sitaSie bado tunayatumia huku kwetu Dar maeneo ya Tandale kuuzia miguu ya kuku na filigisi usiku...
Utakuwa Umeishi Mjini umeme umeukuta siye wengine Tulioishi Umeme ukatukuta Tunaelewa kuwa yanaitwa Hivyobkwa sababu yalikuwa yanatumika kwenye Taa za Chemli unaweka Mafuta Ili Uweze kuonaMafuta ya taa ni nishati inayotumika katika matumizi ya vitu mbali mbali,lakini jina lake maarufu limebaki kuwa mafuta ya taa,swali ni nani alitunga hilo jina na kwanini yawe ni mafuta ya taa tu,wakati yanatumika kwenye vitu vingine zaidi ya taa!
Kuuliza si ujinga!
ha ahahahahah ndio maana asubuhi mama muuza filigisi huwa anaamka nostrills nyeusi tii kama exhaust ya gari la mashindano sababu ya hizo koroboi...Sie bado tunayatumia huku kwetu Dar maeneo ya Tandale kuuzia miguu ya kuku na filigisi usiku...
Je hakuna vitu vingine zaidi ya taa!Koroboi, Chemli na Karabai hizo ndizo taa zitumiazo mafuta hayo kabla umeme na solar havija enea
Mkuu kijijini nakumbuka kila ikifika jioni kuna mzee alikua akipita na baiskeli ya huku akitangaza ya umemeee tunatoka na koroboi!Utakuwa Umeishi Mjini umeme umeukuta siye wengine Tulioishi Umeme ukatukuta Tunaelewa kuwa yanaitwa Hivyobkwa sababu yalikuwa yanatumika kwenye Taa za Chemli unaweka Mafuta Ili Uweze kuona
SHELL ilikuwa kampuni kubwa ya kuuza mafuta kama ilivyokua Total, esso, CALTEX, Agip, BP nk. SHELL ilipigwa marufuku pamoja na kampuni zake tanzu kuendesha biashara Tanzania, baada ya wamiliki wa kampuni hiyo kujihusisha na siasa za Zimbabwe. walimuunga mkono Ian Smith.Simith, mzungu aliyekuwa na uraia wa Zimbabwe, zamani ikiitwa Rhodesia. Smith alipewa madaraka kinafiki na Uingereza ili kuwatuliza wapigania Uhuru wa nchi hiyo wakiongozwa na ZANU PF. Tanzania iliyokuwa mwenyekiti wa nchi zilizo mstari wa mbele kwenye ukombozi wa nchi za kuzini mwa Afrika zilimkataa Ian Smith na hivyo SHELL ikatimuliwa Tanzania. Kwakuwa ilikuwa na vituo vingi vya kuuzia nishati hiyo jina lake bado linatamba. SHELL walikuwa wanatumia logo hii hapawakikupa jibu,then pia watuambie kwanini vituo vya kuuzia nishati za hayo mafuta vinaitwa sheli?