Mafuta ya Petrol na Gharama za usafiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta ya Petrol na Gharama za usafiri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhache, Jan 16, 2009.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tatizo la kukosekana kwa mafuta ya petrol linaonekana kuendelea kuwepo kila siku. Je tatizo lipo wapi? Ni ukosefu wa mafuta katika hifadhi y aTaifa au meli za mafuta bado kufika nchini?

  Tatizo hili limekuwa kubwa baada ya serikali kupanga bei ya mafuta. Serikali inatakiwa itupe majibu ya kuridhisha kuliko kusema tatizo litamalizika baada ya siku kadhaa.
   
 2. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Watanzania tumezoea kufanya kazi kama zimamoto au kwa mazoea bila kujali mabadiliko yatokea kila siku yaani sisi ni wagumu kukubali mabadiliko.
  Mimi sitashangaa nauli na bei za bidhaa zikiendelea kubaki vilevile bila kushuka.Wakati katika nchi nyingine kila kitu kinabadilika kutoka na hali ya wakati huo ilivyo.
   
Loading...