kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,909
Haya mafuta yanapigiwa promo sana madukani yanafaa kwa matumizi???
Yanachubua au kung'arisha???maana mafuta ya kung'aa au whiten yanapaswa wapake wanawake
Hii perfect white jee???Kuna member humu ashawah kuyasikia?
Update:haya mafuta ni ya kikekike hivi ushauri kwa men wenzangu nunua mafuta yoyote yaloandikwa for "men" au paka ,baby care,vaseline hizi za UK kama mimi
Nimeuliza maana nilichukua mzigo wa dukani kwa jumla kijana wangu wa dukani aliagiza kumbe yalishapigwa marufuku Tfda wamenilima faini kubwa sana hapa biashara inalega lega tu wenye maduka ya vipodozi na dawa mnaelewa haya mafaini yanavyoumiza