Pozzers JF-Expert Member Joined Sep 14, 2013 Posts 337 Reaction score 560 May 14, 2018 #1 Wafanyabiashara Walipewa Siku Tatu Na Waziri Mkuu Wawe Wameshayatoa Mafuta Yote Ya Kupikia Waliyodaiwa Kuwa Wameyaficha Na Kuhakikisha Bei Inashuka, Nadhani Siku Tatu Zimekamilika Jana, Vipi Huko Ulipo Mafuta Ya Kupikia Yameshashuka Bei?
Wafanyabiashara Walipewa Siku Tatu Na Waziri Mkuu Wawe Wameshayatoa Mafuta Yote Ya Kupikia Waliyodaiwa Kuwa Wameyaficha Na Kuhakikisha Bei Inashuka, Nadhani Siku Tatu Zimekamilika Jana, Vipi Huko Ulipo Mafuta Ya Kupikia Yameshashuka Bei?
mulwanaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 5,260 Reaction score 12,871 May 14, 2018 #2 Kama siku tatu zimeisha .......we subiri watakipata cha mtema kuni unachezea awamu ya tano
arch88 JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 514 Reaction score 619 May 14, 2018 #3 Wanataka tu kuwapora watu Mali zao kwa kisingizio wameficha huko ruvuma tayari wameanza figisu
donacianm Senior Member Joined Sep 20, 2016 Posts 162 Reaction score 72 May 14, 2018 #4 Kwetu hakuna shida yamejaa mtaani na viwandani ni pesa yako.